13 Mei, 2025

Mahakama ya Kenya yaidhinisha kusafirishwa Marekani kwa naibu spika wa zamani wa Afghanistan

Mwanasiasa wa Afghanistan Abdul Zahir Qadir anakabiliwa na mashtaka kuhusu dawa za kulevya na silaha nchini Marekani lakini mawakili wake wanapinga kuwa ushahidi uliowasilishwa dhidi yake umechochewa kisiasa.

afghan

13 Mei, 2025

Uganda yasimamisha kwa muda mabasi za kampuni ya YY Coaches kutoa huduma

Katika wiki mbili mabasi ya kampuni hiyo yameripotiwa kufanya ajali mara mbili, ya hivi karibuni ilikuwa Mei 5 iliyoua abiria watatu.

yy 20coaches

13 Mei, 2025

Kenya yahitaji ufadhili zaidi kwa vyombo vya usalama

Mkurugenzi Mkuu wa Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi nchini Kenya amesema vikosi vya usalama vimekuwa na changamoto ya kifedha kwa muda mrefu na haviwezi kupata vifaa vya kisasa vya ulinzi.

2019 07 23t000000z 1594430149 rc1 4e2100 rtrmadp 3 kenya corruption scaled

13 Mei, 2025

Wazalishaji Uganda wataka nafaka isiuzwe nje ya nchi

Wazalsihaji wanadai kuwa uuzaji wa nafaka kwa nchi nyengine zimesababisha viwanda kufungwa na madalali kupata faida badala ya wakulima.

gettyimages 589471500

13 Mei, 2025

Serikali ya kijeshi ya Guinea yatangaza tarehe mpya ya uchaguzi

Tangazo hilo linakuja mwezi mmoja baada ya serikali kuweka tarehe 21 Septemba 2025 kuwa siku ya kura ya maoni ya katiba, ambayo ilisema itakuwa utangulizi wa kurejea kwa utawala wa kikatiba.

2025 04 02t074556z 1 lynxnpel310aj rtroptp 3 un assembly

13 Mei, 2025

Wabunge 40 Kenya wafungiwa ofisi kwa kushindwa kulipa kodi

Wabunge na wafanyakazi wa Tume ya Huduma za Bunge (PSC) walifungiwa nje ya ofisi zao katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC) kwa madai ya kutolipa kodi kwa muda mrefu.

2017 04 10t120000z 1148932614 rc1 878d140 rtrmadp 3 kenya cityscape scaled

12 Mei, 2025

Kiongozi wa upinzani Côte d’Ivoire Thiam ajiuzulu kufuatia utata wa uraia wa Ufaransa

Kwa miezi kadhaa, kampeni ya Tidjane Thiam ya kuwania urais imekumbwa na wasiwasi kuhusu uraia wake.

thiam

12 Mei, 2025

Waafrika weupe wa Afrika Kusini wahamia Marekani kama wakimbizi

Kutoa hadhi ya ukimbizi kwa Wazungu wa Afrika Kusini kumekumbwa na hisia tofauti kutoka mamlaka za Afrika Kusini, ambazo zinasema utawala wa Trump umeingia katika suala la kisiasa la ndani ambalo halielewi.

south africa trump white refugees 61536

12 Mei, 2025

Polisi Uganda yamkamata mhalifu sugu

Mhalifu aliyekamatwa anaitwa Imanantireganya Alfadudu, maarufu kama “ MCongo”.

police 20uganda

12 Mei, 2025

Mafuriko yasababisha vifo zaidi DRC

Waziri wa Afya wa jimbo la Kivu Kusini Theophile Walulika Muzaliwa amewaambia waandishi wa habari kuwa juhudi za utafutaji na uokoaji zimetatizwa pakubwa.

drc 20floods
Loading...