Takriban wanajeshi sita wameuawa katika mapigano ya mpaka kati ya Sudan Kusini na Uganda

Mpaka huo haujafafanuliwa vizuri na mara nyingi huzua mapigano madogo madogo
30 Julai, 2025
Asasi za kiraia Tanzania zatakiwa kuzingatia sheria: Tume ya Uchaguzi

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi amesisitiza kuwa katika kipindi cha uchaguzi Tume itafanya kazi kwa karibu na taasisi na asasi za kiraia zilizopata kibali cha kutoa elimu ya mpiga kura.
30 Julai, 2025
Umoja wa Afrika unasema hautambui serikali ya kando ya Sudan

Umoja wa Afrika unazitaka nchi zote wanachama na jumuiya ya kimataifa kukataa kugawanyika kwa Sudan na kutoitambua serikali mpya iliyojitangaza.
30 Julai, 2025
Mawaziri waidhinisha ubinafsishwaji wa kampuni ya usambazaji mafuta Kenya – KPC

Miongoni mwa makampuni yanayomilikiwa na serikali KPC imedumisha faida kubwa lakini inasalia kutatizwa na uzembe katika urasimu.
30 Julai, 2025

Rais wa Kenya asaini sheria mbili mpya zitakazosaidia kudhibiti rushwa

Watu kadhaa waliuawa baada ya askari wa Uganda, Sudani Kusini kupigana karibu na mpaka

Afrika Kusini itatafuta masoko mapya ya madini kushindana na Marekani

Rwanda yawekeza dola milioni 25 katika uwanja mpya wa mpira wa vikapu

Majaliwa atoa wito wa kutatua changamoto za uwekezaji Afrika na Karibi
29 Julai, 2025
Mkenya Stephen Munyakho, aliyeachiliwa kutoka gereza la Saudia arudi Kenya
Stephen Abdulkareem Munyakho, alinusurika kunyongwa baada ya kukaa jela miaka 14 Saudi Arabia kwa kosa la mauaji.

29 Julai, 2025
Ripoti ya UN inaonyesha ongezeko la kutisha la uhaba wa chakula barani Afrika licha ya maendeleo
Ripoti hiyo ni ya hivi punde kupendekeza kwamba kuondoa uhaba wa chakula ulimwenguni kote bado ni changamoto kubwa. Afrika inasalia kuwa bara hatari zaidi.

28 Julai, 2025
Mkutano wa UN wa kutathmini mifumo ya chakula wafanyika Ethiopia
Katika mkutano kati ya 28 na 29 Julai, 2025 unaofanyika nchini Ethiopia, Umoja wa Mataifa, UN na nchi za Afrika zinatathmini hali ya mabadiliko ya mifumo ya chakula.

28 Julai, 2025
Afrika Kusini ‘yatamaushwa na njaa ya kimakusudi’ ya Wapalestina huko Gaza: Ramaphosa
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ameeleza wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza, akisema kwamba wao “wanaogopa sana njaa iliyokusudiwa” ya “dola ya ubaguzi wa rangi ya Israeli.”

28 Julai, 2025
Eswatini inakabili na shinikizo la umma baada ya kukubali wafungwa waliofukuzwa Marekani
Shinikizo la umma limekuwa likizidi dhidi ya serikali ya Eswatini baada ya taifa hilo la Afrika Kusini kukubali wafungwa waliotupwa nje na Marekani hivi karibuni.

27 Julai, 2025
Shambulio la kundi la waasi la ADF dhidi ya kanisa katoliki la DRC limeua takriban watu 21
Angalau watu 21 wameuawa katika shambulio lililofanywa dhidi ya majengo ya kanisa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kundi la waasi la Allied Democratic Force (ADF).

27 Julai, 2025
Mpinzani mkuu wa rais wa Cameroon Maurice Kamto amezuiwa kushiriki katika uchaguzi
Maurice Kamto hakuwa miongoni mwa wagombea 13 kwenye orodha ya awali iliyotolewa Jumamosi na baraza la taifa la uchaguzi.

27 Julai, 2025
Muungano unaoongozwa na RSF watangaza serikali sambamba nchini Sudan
Kikosi cha kijeshi cha RSF na washirika wake wameapa kujenga “Sudan Mpya”.

26 Julai, 2025
TRA yalenga kutoza kodi biashara za mitandaoni na vyumba vya Air BnB
Mamlaka ya ukusanyaji Kodi Tanzania TRA imetoa makataa ya hadi mwisho wa Agosti kwa biashara zote za kidijitiali na za Air Bnb kusajiliwa kupewa nambari ya utambulisho TIN au wakabiliwe na sheria.

26 Julai, 2025
Mkuu wa Tume ya AU apongeza utambuzi wa Ufaransa wa taif ala Palestina
Mahmoud Youssouf alisema uamuzi huo unaendana na “msimamo wa kudumu wa Umoja wa Afrika” kuhusu haki za watu wa Palestina.



