Jeshi la Sudan linasema kuwa lilizima shambulio la RSF huko El-Fasher

Jeshi la Sudani lilisema Jumapili kuwa vikosi vyake vilikataa shambulio la kikosi cha RSF cha kijeshi cha ziada katika El-Fasher, mji mkuu wa jimbo la Kaskazini Darfur.
3 Agosti, 2025
DRC, Rwanda zakubali kuratibu kuhusu ‘madini, nishati, miundombinu, utalii’: Marekani

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda wamefikia mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi katika mazungumzo yao ya hivi karibuni huko Washington, Marekani imeeleza.
3 Agosti, 2025
Ghana yatoa msaada wa kibinadamu kwa Palestina

Rais wa Ghana, John Dramani Mahama, anawataka jamii ya kimataifa kuhakikisha ulinzi wa maisha nchini Palestina na kutoa msaada muhimu wa kibinadamu.
3 Agosti, 2025
Wauguzi wa Nigeria wasitisha mgomo baada ya makubaliano na serikali

Madai ya wauguzi ni pamoja na kulipwa zaidi, hali bora za kazi na kuongeza ajira.
3 Agosti, 2025

UN inakanusha mpango uliokamilika wa kuhamishia mashirika muhimu nchini Kenya

Marekani yapongeza mazungumzo ya kwanza kati ya DRC na Rwanda tangu makubaliano kama ‘hatua muhimu’

Afrika Mashariki kulibakisha Kombe la CHAN 2024 nyumbani?

Rwanda na DRC zafanya mkutano wa kwanza wa pamoja tangu makubaliano ya amani

Mhubiri maarufu Kenya akana kuwa alitabiri dunia itakwisha Agosti 2, 2025
1 Agosti, 2025
Ethiopia yapanda miti milioni 700 kwa siku moja
Ethiopia imesema kuwa imepanda miche ya miti milioni 700 kwa siku moja kama sehemu ya mpango wake wa kitaifa wa upandaji miti.

1 Agosti, 2025
UN yakashifu vifo vya watu Angola
Maandamano hayo yalianza Jumatatu kama sehemu ya mgomo wa madereva wa mabasi madogo kuhusu kupanda kwa theluthi moja ya bei ya dizeli, ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali kupunguza ruzuku ya mafuta.

1 Agosti, 2025
Magaidi waua wanakijiji 5 nchini Msumbiji katika mkoa wenye mapigano wa Cabo Delgado
Maafisa wa usalama wanasema kumekuwa na mashambulizi mapya kutoka kwa wapiganaji katika mkoa wa Cabo Delgado

31 Julai, 2025
Mauaji ya Simba wa utafiti yazua utata nchini Zimbabwe
Hii ni baada ya mwindaji mmoja nchini humo kumuua Simba anayedaiwa kutumika kwa utafiti wa wanyamapori.

31 Julai, 2025
Jumuiya ya EAC yazitaka nchi wanachama kuheshimu mpango wa soko la pamoja
Tamko hilo linakuja siku chache baada ya Tanzania kupiga marufuku raia wa kigeni kumiliki na kuendesha biashara ndogondogo, hatua iliyozua wasiwasi na upinzani kutoka nchi jirani ya Kenya.

31 Julai, 2025
Osimhen arudi rasmi Galatasaray baada ya kumalizana na Napoli
Hatua hiyo inakuja baada ya mazungumzo ya muda mrefu na Napoli, baada ya nyota huyo Mnigeria kuichezea Galatasaray kwa mkopo, msimu uliopita.

31 Julai, 2025
Somalia yashurutisha matumizi ya vitambulisho vya taifa katika shughuli za kibenki
Hatua hiyo inalenga kupambana na uhalifu wa kifedha na kurejesha imani ya umma katika taasisi za fedha, Benki Kuu ya Somalia imesema.

31 Julai, 2025
Serikali ya Kenya yalalamika kuhusu masharti mapya ya biashara Tanzania
Kenya imewasilisha malalamiko rasmi kuhusu masharti mapya ya biashara na leseni yaliyotangazwa na Tanzania wiki hii.

31 Julai, 2025
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Misri, Sudan wajadili juhudi za kutafuta amani nchini Sudan
Waziri wa Sudan ametoa shukrani zake kwa nchi ya Misri kuendelea kwake kuunga mkono uhuru na usalama wa Sudan.

31 Julai, 2025
Tuko tayari kwa CHAN, Uganda yasema
Serikali ya nchi hiyo imesema kuwa usalama umeimarishwa ipasavyo huku mashabiki wa soka wakitarajiwa kuelekea katika uwanja wa taifa wa Mandela ambao pia unajulikana kama Uwanja wa Namboole, kwa ajili ya michuano hiyo ya (CHAN)



