Uganda kuidhinisha mashirika mengine kutoa mafunzo ya ubobezi wa uanasheria

Kwa miaka 55 kituo hiki ndicho kilikuwa na uwezo pekee nchini Uganda kutoa mafunzo ya ubobezi wa uanasheria na idhini ya kuwa wakili.
6 Agosti, 2025
Ethiopia yamteua mjumbe mpya nchini Somalia baada ya mvutano wa kidiplomasia

Hatua hiyo inafuatia Azimio la Ankara lililotiwa saini Disemba 2024 ambalo lilipunguza mvutano kuhusu mkataba wa Ethiopia na Somaliland wa ufikiaji wa bahari.
6 Agosti, 2025
DRC kuanza kutoa vitambulisho vya taifa kwa kwa raia

Baada ya zoezi hilo kusimamishwa mwaka 2022 kutokana na ukiukaji wa mkataba na mshirika wa zamani, mradi huo sasa unaanza upya huku ushirikiano mpya ukikamilika na kampuni ya kutoka Ghana.
6 Agosti, 2025
Malawi na Zambia katika mradi wa majaribio wa Marekani unaohitaji dhamana ya $15000 ya viza

Msemaji wa Idara ya Mambo ya Nje anasema kwamba orodha ya nchi inaweza kusasishwa mara kwa mara.
6 Agosti, 2025

Sudan: Al-Burhan aahidi kushinda Vikosi vya Msaada wa Haraka na kusafisha kabisa Darfur

‘Hatari ya njaa’ kwa maelfu waliokwama katika mji wa Sudan uliozingirwa

Rais wa Burundi amteua waziri wa fedha kuwa waziri mkuu mpya

CHAN 2024: Senegal yaibuka mbabe dhidi ya Nigeria

Tanzania: Humphrey Polepole apoteza hadhi ya ubalozi, uteuzi wake watenguliwa
5 Agosti, 2025
Rwanda ‘ipo tayari’ kupokea wahamiaji 250 kutoka Marekani
Mpango huo ulisitishwa baada ya uchaguzi wa mwaka jana nchini Uingereza.

5 Agosti, 2025
Magaidi 70 wa al-Shabaab wauawa katika operesheni ya kijeshi Somalia
Wanajeshi wawili wameuawa na wengine 12 kujeruhiwa wakati wa operesheni katika kanda ya Lower Shabelle, Wizara ya Ulinzi imesema

5 Agosti, 2025
Rwanda kuwapokea wahamiaji hadi 250, waliofukuzwa Marekani, serikali inasema
”Wale walioidhinishwa watapewa mafunzo ya wafanyakazi, huduma za afya, na msaada wa malazi ili kuharakisha maisha yao nchini Rwanda, na kuwapa fursa ya kuchangia moja ya uchumi unaokua kwa kasi zaidi duniani katika muongo mmoja uliopita.”

4 Agosti, 2025
Marekani yasitisha kwa muda utoaji Viza kwa raia wa Burundi
Uamuzi huo umetolewa Agosti 4, 2025, na kutangazwa na Ubalozi wa Marekani mjini Bujumbura.

4 Agosti, 2025
Njia nyeupe kwa Paul Makonda baada ya kuongoza katika kura za maoni
Paul Makonda anawania nafasi ya ubunge katika jimbo la Arusha mjini, akiwa pia amehudumu kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha nchini Tanzania.

4 Agosti, 2025
Uganda yakabiliwa na ongozeko la wakimbizi, Umoja wa Mataifa waonya
Wastani wa watu 600 kwa siku, waliingia nchini Uganda toka kuanza kwa mwaka 2025, huku idadi hiyo ikikadiriwa kufikia milioni 2, ifikapo mwisho wa mwaka.

4 Agosti, 2025
Wataalamu wa hali ya hewa watadhaharisha ujio mvua kubwa Ethiopia
Ethiopia imekabiliwa na changamoto ya mafuriko yaliyopelekea uharibifu mkubwa wa miundombinu.

4 Agosti, 2025
Vikosi vya usalama vyawaua zaidi ya magaidi 50 wa Al Shabab katika vita vya kuwania mji wa Bariire
Umoja wa Afrika Uliopo Somalia anasema kuwa wapiganaji hao wa ugaidi waliuawa katika operesheni ya kurekebisha mji mkuu wa Bariire.

4 Agosti, 2025
Rais wa Uganda avumbua mfumo wa mtaji kwa vijana
Chini ya agizo hili jipya, Mashirika ya Ushirika wa Akiba na Mikopo, SACCO zilizojitolea zitaanzishwa katika kila tarafa tano za Kampala, ili kusaidia wahitimu wa Mpango wa Ujuzi wa Rais na kupata mtaji wa kuanzia.

4 Agosti, 2025
Wahamiaji 68 kutoka Afrika wafariki katika pwani ya Yemen baada ya boti kupinduka
Takriban wahamiaji 68 kutoka Afriki wamefariki na wengine 74 hawajulikani walipo baada ya boti kupinduka katika pwani ya Yemen, kulingana na shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji.



