9 Agosti, 2025

Niger yataifisha mgodi pekee wa dhahabu nchini humo

Niger, Mali na Burkina Faso wamechukua hatua katika miaka ya hivi karibuni ili kuongeza udhibiti wao juu ya rasilimali zao.

image 20 60

9 Agosti, 2025

Takriban waombolezaji 21 wafariki katika ajali ya basi nchini Kenya

Tukio la Ijumaa lilitokea katika Kaunti ya Kisumu baada ya basi – inaaminiwa kuwa lilikuwa linarudi kutoka kwenye mazishi mapema siku hiyo – kuanguka, kulingana na vyombo vya habari vya ndani

ee21d5f3ad0bc00af3b605a1a90079a92289904d17a783f0a0860370b6dc250f

8 Agosti, 2025

Marekani yasitisha huduma za viza nchini Zimbabwe

Ubalozi wa Marekani ulieleza hatua hiyo kuwa ya muda na ni sehemu ya juhudi za uongozi wa Trump za “kuzuia viza nyingi na matumizi mabaya.”

7fb081b3ccef283071543fd45b1a2647834dda22a62116b26d51b74207ef91a1

8 Agosti, 2025

Waziri Mkuu Kenya: Tuna haki ya kufanya biashara na nchi tofauti duniani

Waziri Mkuu wa Kenya Musalia Mudavadi amethibitisha haya wakati muswada unaopendekezwa katika Seneti ya Marekani ukitishia kufuta hadhi ya nchi hiyo isiyo ya NATO (MNNA) kuhusu uhusiano wake wa kibiashara na Iran na Urusi.

2025 05 26t231220z 1506082910 rc2m3baofo3j rtrmadp 3 morocco kenya westernsahara

8 Agosti, 2025

Kenya: Ajali ya treni na basi dogo yaua watu 8

Kati ya waliopoteza maisha katika ajali hiyo, ni pamoja na dereva wa basi hilo linalomilikiwa na kampuni ya KPC.

471560bdf8025c427f80f449004a365a66b2619c94ed36a245a78eac9bfd4700

7 Agosti, 2025

CHAN 2024: VAR ‘yaokoa milioni moja’ ya Rais William Ruto

Hii ni baada ya timu ya taifa ya Kenya ‘Harambee Stars’ kutoka suluhu na timu ya taifa ya Angola, katika mchezo wao wa pili wa Kundi A, uliofanyika Agosti 7, 2025.

4f9d1101c086063c778fb15bdd125f7331aa0a19a50ceb5d711260e0ca6f6fd5

7 Agosti, 2025

Kambi za wakimbizi Gambella, Ethiopia zakosa rasilimali za kutosha

Eneo hilo, ambalo linahifadhi zaidi ya wakimbizi 395,000 – wengi wao kutoka Sudan Kusini katika kambi saba – linashuhudia ongezeko la utapiamlo kwa watoto, ugonjwa wa malaria, na wagonjwa kulazwa.

dd325073ce18c5eb4c984b0f9e71578948b8089a38d0a9533d5e2179fe4e7811

6 Agosti, 2025

CHAN 2024: Tanzania yavuna alama sita baada ya kuifunga Mauritania

Michuano ya CHAN 2024 inaandaliwa kwa pamoja na nchi za Tanzania, Kenya na Uganda.

f8a556a713351fee86b797f0de14979eaf93238d0203f0b8caa0d79c7ec76424

6 Agosti, 2025

Umoja wa Afrika wahuzunishwa na ajali ya helikopta iliyoua mawaziri wawili wa Ghana

Kupitia taarifa yake, mwenyekiti huyo alituma salamu zake za rambirambi kwa Rais wa Ghana John Dramani Mahama, serikali ya nchi, watu wa Ghana, pamoja na familia za wafiwa, kufuatia ajali hiyo iliyotokea Agosti 6, 2025.

3ae7153eab147bfbf54a3b89a8f6b30beb758740278c3a5311cdda79f18f02be

6 Agosti, 2025

Spika za zamani wa bunge la Tanzania Job Ndugai afariki dunia

Ndugai amekuwa Spika wa Bunge tangu November 17, 2015 hadi Januari 06, 2022 alipojiuzulu na kuendelea kuwa Mbunge wa Kongwa ambapo hivi karibuni, alishinda kura za maoni ili aweze kugombea tena nafasi hiyo.

a61ca148cba6e6d6d7297a02529e4ce49ae3f498bd703ac41c68a9d80d061aeb
Loading...