15 Agosti, 2025

Afrika Kusini yaanza mjadala wa taifa kutafuta suluhu ya matatizo

Miongoni mwa matatizo ambayo Rais Cyril Ramaphosa ameyataja ni ukosefu wa ajira ambao umepita zaidi ya asilimia 33 na ukosefu wa usawa, ikiwa ni moja ya takwimu mbaya duniani.

13df8496232166f49dc21fb376c6db5ea696860c21a96fc3c5ad401cabbf2539

15 Agosti, 2025

Umoja wa Afrika wataka ulimwengu kutumia ramani ya dunia inayoonyesha ukubwa halisi wa Afrika

Umoja wa Afrika umeunga mkono kampeni inayolenga kukomesha matumizi ya ramani ya dunia ya karne ya 16 ya Mercator, inayotumiwa na serikali na mashirika ya kimataifa, na badala yake kutumia ramani inayowakilisha kwa usahihi zaidi ukubwa wa Afrika.

05a9c87c01801510677d6c2a0bf2fe8fcddb0f2a5803cd4f6c9db0970cc8260a

15 Agosti, 2025

Mali yawatia nguvuni wanajeshi, raia wa Kifaransa kwa kuvuruga amani nchini humo

Kati ya waliokamatwa, ni pamoja na raia wa Ufaransa, aliyetambulika kama Yann Vezilier.

458ffe4ad2b5419b37e203e378f00529f7dd81a01d42d13282b78b43a26b3f5e

15 Agosti, 2025

Mahakama Kenya yapigia msumari sheria ya kustaafu miaka 60

Uamuzi huo ulitolewa katika kesi iliyowasilishwa na raia mmoja, ambaye alidai kuwa kuwataka wafanyakazi kustaafu wakiwa na miaka 60 – au 65 ni ukiukaji wa haki za kikatiba za usawa kwa watu wenye ulemavu.

1755239609713 tk239 614be943697935f946a5f80e2ffbc5c653117d83d0f3b2acd49114993f6773f9

15 Agosti, 2025

Zaidi ya mataifa 30 yahimiza kusitishwa kuzingirwa kwa mji wa El Fasher nchini Sudan

Maafisa wakuu kutoka zaidi ya nchi 30 na mashirika ya kimataifa siku ya Alhamisi walihimiza kusitishwa mara moja kuzingirwa wa El Fasher katika jimbo la Darfur Kaskazini mwa Sudan.

94634940db010797fe9f16ff9da23898d0d4463607f29e8188fa6c7ed7725da5

14 Agosti, 2025

Watu wasiopungua 25 wamefukiwa kwenye mgodi mmoja kaskazini mwa Tanzania

Juhudi za uokoaji zinaendelea katika mgodi mmoja nchini Tanzania baada ya watu wasiopungua 25 kufukiwa, Rais wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan alisema siku ya Alhamisi.

91c6dc42d20ec2e1a539b6e4cd5a084ef8ca8314f799b62e7fa6315e86608adc

14 Agosti, 2025

Kuridhia kwa serikali ya Eswatini kupokea waliotimuliwa Marekani kwapinga mahakamani

Wanaharakati wa Eswatini wameiomba mahakama kuu kuamua kuwa kinyume cha katiba hatua ya nchi hiyo kukubali kuwapokea raia watano wa kigeni ambao walifukuzwa Marekani.

93bfacdd0b94439e3ab40fefd8ddd74e110d88d740e1b2b513eec31b4b43c549

14 Agosti, 2025

Watu kadhaa wafariki Sudan kutokana na kipindupindu ‘kibaya’ kuwahi kutokea ndani ya miaka mingi

Shirika la MSF linasema raia kuondolewa katika makazi yao kwa wingi kutokana na mapigano Sudan kumefanya mlipuko kuwa mbaya zaidi kwa watu kushindwa kupata maji safi.

c085ec40da0058d99fc3385a4a2d3242fdbbafb77c0684d5cfedf561b3f8fee7

14 Agosti, 2025

Air Tanzania mbioni kuanza safari za Dar es Salaam-Lagos

Hii ni baada ya shirika hilo kupata kibali cha safari hizo kutoka serikali ya Nigeria.

e40e7d752f57679c512ed41d0e487e8cd513db161e2c8d2207a7703715ca4ff4

14 Agosti, 2025

Upinzani Uganda wanajaribu kufuta sheria ya wananchi kushtakiwa katika mahakama ya kijeshi

Chama kikuu cha upinzani nchini Uganda kimewasilisha kesi katika mahakama ya katiba ili kufuta sheria mpya iliyorudisha haki ya mahakama za kijeshi kusikiliza kesi za raia.

2025 05 09t212018z 1139748863 rc27eeagdkmp rtrmadp 3 uganda politics main
Loading...