Gavana wa Benki Kuu ya Ethiopia aacha kazi

Waziri Mkuu Abiy Ahmed alimteua Mamo kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Ethiopia, NBE mnamo Januari 2023.
4 Septemba, 2025
Ethiopia yawania kuandaa mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu tabianchi 2027

Ethiopia inawania kuwa mwenyeji wa mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi 2027 katika mji mkuu Addis Ababa, wakiwa kwenye ushindani na Nigeria.
3 Septemba, 2025
Mwanamfalme wa Qatar ataka kuwekeza dola bilioni 21 DRC,serikali ya nchi hiyo imesema

Mwanamfalme wa Qatar Sheikh Mansour bin Jabr bin Jassim Al Thani anataka kuwekeza dola bilioni 21 nchini DRC, serikali ya nchi hiyo ilitangaza siku ya Jumatano.
3 Septemba, 2025
DR Congo yashtumu waasi wa M23 kwa kukiuka haki za binadamu, kulazimisha watu kujiunga nao

Utekaji nyara wa vijana unaendelea, hadi kulazimisha watu kujiunga nao katika mapigano , amesema afisa mmoja
3 Septemba, 2025

Luhaga Mpina: Sirudi CCM ng’o

Ripoti: Ofisi ya Rais Ruto yatumia zaidi ya dola elfu 15 kwa huduma za uchapishaji kwa siku

Wito wa msaada watolewa baada ya maporomoko ya ardhi kuangamiza kijiji cha Sudan, na kuua watu 1,000

Misheni za kulinda amani za Sudan Kusini, DRC ziko hatarini kutokana na kupunguzwa kwa ufadhili: UN

Mapigano kaskazini mashariki mwa Sudan Kusini yasababisha vifo vya watu wasiopungua 20
2 Septemba, 2025
Waziri wa Mambo ya Nje Misri aomba mabadiliko Baraza la Usalama, akemea ‘undumakuwili’ wa Magharibi
Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri ametoa wito wa kufanyiwa mabadiliko Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, akisema lilivyo kwa sasa haliakisi uhalisia wa enzi hizi.

2 Septemba, 2025
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yaifutia Somalia deni la miaka 38
Somalia imeishkuru Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, ikieleza uamuzi huo kuwa mafanikio ya ”kihistoria”.

2 Septemba, 2025
WHO: Zaidi ya watu bilioni moja wana changamoto ya afya ya akili
Shirika la afya Duniani, WHO, linatoa wito kwa seriklai kuwekeza zaidi katika matibabu ya changamoto ya afya ya akili ambayo bado imekithiri.

2 Septemba, 2025
Burkina Faso yapitisha sheria ya kuzuia mapenzi ya jinsia moja
Serikali ya Burkina Faso Jumatatu ilipitisha kwa kauli moja sheria inayozuia mapenzi ya jinsia moja kama sehemu ya mageuzi makubwa ya sheria za familia na uraia.

2 Septemba, 2025
Waziri Mkuu wa Ethiopia adai madini ya nchi hiyo yamekuwa yakipotea kupitia Mto Nile
Ethiopia inasema itazindua hivi karibuni bwawa lake kuu, limejengwa kwenye Mto Nile na Serikali inasema lina na uwezo wa kuzalisha megawati 6000 ya umeme ikikamilika

2 Septemba, 2025
Uchumi wa Sudan Kusini taabani huku Sudan ikifunga bomba la mafuta
Wizara ya Nishati na Petroli ya Sudan imeamuru kufungwa kwa dharura kwa vituo vya mafuta katika eneo la Heglig karibu na mpaka na Sudan Kusini kufuatia shambulio la ndege isiyo na rubani mapema Jumamosi.

2 Septemba, 2025
“Afrika inaweza kulisha dunia nzima,” asema Rais wa Senegal
Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, siku ya Jumatatu alisema kuwa Afrika inaweza kulisha dunia nzima, akisisitiza kuwa vijana lazima wawe kiini cha mageuzi ya kilimo.

2 Septemba, 2025
Rais Salva Kiir awafukuza kazi mawaziri wake watatu
Taifa hilo, ambalo lilijitenga kutoka Sudan mwaka 2011, limekumbana na hali ya machafuko kufuatia kuhasimiana kati ya Kiir na Naibu wake, Riek Machar uliopelekea kuanzishwa kwa makubaliano ya kugawana madaraka, mwaka 2018.

2 Septemba, 2025
Zaidi ya 1,000 wafariki katika maporomoko ya ardhi katika kijiji cha Sudan Magharibi
Maporomoko ya ardhi yalitokea Agosti 31 baada ya siku kadhaa za mvua kunyesha, kundi linaloongozwa na Abdelwahid Mohamed Nour lilisema katika taarifa.

2 Septemba, 2025
Guinea inaondoa vikwazo vya vyombo vya habari kabla ya kura ya maoni
Vyombo vya habari vya Guinea vinaweza kutoa sauti kwa vyama vilivyopigwa marufuku kabla ya kura ya maoni ya Septemba, rais wa mdhibiti wa vyombo vya habari nchini humo alisema Jumatatu.



