Wanajeshi kusimamia ujenzi wa hospitali Kenya

Ujenzi wa Hospitali ya Sogoo katika kaunti ya Narok haukumfurahisha Rais wa Kenya William Ruto alipozuru eneo hilo Mei mwaka huu, jambo lililomfanya kuagiza wanajeshi kuingilia kati.
12 Septemba, 2025
Raia wa Afrika kutolipia viza kuingia Burkina Faso

Hata hivyo, urahisi huo unaweza kubadilika baada ya nchi hiyo kujiondoa kutoka Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS).
12 Septemba, 2025
Sudan Kusini yamshtaki Makamu Rais Riek Machar kwa makosa ya mauaji na uhaini

Makamu wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, ameshtakiwa kwa makosa ya mauaji, uhaini na uhalifu dhidi ya binadamu kwa madai ya kuhusika katika mashambulizi yaliyofanywa na kundi la ‘White Army’ dhidi ya vikosi vya serikali mwezi Machi.
11 Septemba, 2025
Mahakama Kuu ya Afrika Kusini imeruhusu wanaume kuchukua majina ya ukoo ya wake zao

Katika uamuzi wake wa Alhamisi, Mahakama Kuu ya Afrika Kusini iligundua kuwa kipengele fulani cha sheria kinahusiana na ubaguzi wa kijinsia usio wa haki.
11 Septemba, 2025

Hospitali ya Recep Tayyip Erdoğan: Daraja la afya na undugu nchini Somalia

Ghana imepokea Wanigeria waliotimuliwa Marekani, rais anasema

Raia wa China wahukumiwa miaka 20 jela kwa kosa la utekaji nyara Afrika Kusini

Nchi za Afrika zalaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Qatar

Kesi ya Joseph Kony yaendelea ICC bila mwenyewe kuwepo
10 Septemba, 2025
Rwanda kubadilisha sheria ya matumizi ya barabara
Sheria iliyopo ya barabarani, iliyotungwa mwaka 1987, inaonekana kama imepitwa na wakati hivyo haiendani na hali halisi ya matumizi ya sasa ya barabara, kwa mujibu wa maelezo yanayoambatana na muswada huo mpya.

10 Septemba, 2025
Misri inapinga kuanzishwa kwa bwawa la Ethiopia, inaandika kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
Misri imesema kuwa imewasilisha barua kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ikionya dhidi ya uendeshaji wa Ethiopia wa bwawa lake jipya , ikielezea hatua hiyo kama “ukiukaji” wa sheria za kimataifa.

10 Septemba, 2025
Meli ya msaada ya Tunisia inayoelekea Gaza inaripoti shambulio la pili la ndege isiyo na rubani
“Boti nyingine imegongwa katika shambulio linaloshukiwa kuwa la ndege isiyo na rubani. Hakuna majeraha yaliyoripotiwa. Taarifa zitafuata hivi karibuni,” flotilla inasema.

9 Septemba, 2025
Samia: Chagueni mafiga matatu
Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania, unatarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, huku CCM kikimsimamisha kwa mara ya kwanza, mgombea mwanamke katika nafasi ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

9 Septemba, 2025
Gombo wa CUF aahidi ‘kuwapunguzia’ Watanzania makali ya maisha
Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu wake Oktoba 29, 2025.

9 Septemba, 2025
Mgombea Urais aahidi kufuga mamba Ikulu
Kwa mujibu wa Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania (INEC), jumla ya vyama vya siasa 18 vitashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, huku vyama 17 vikisimamisha wagombea Urais.

9 Septemba, 2025
ICC kuwasilisha ushahidi kesi ya uhalifu wa kivita dhidi ya Joseph Kony wa Uganda
Kinachojulikana kama uthibitisho wa kusikilizwa kwa mashtaka kinakuja miongo miwili baada ya ICC kutoa hati ya kukamatwa kwa Joseph Kony kwa madai ya uongozi wake wa kundi la kikatili la waasi.

9 Septemba, 2025
Ethiopia yazindua bwawa kubwa la kuzalisha umeme kwa maji licha ya upinzani mkali wa Misri
Utafiti huru unaonyesha kuwa kufikia sasa, hakuna usumbufu mkubwa wa mtiririko wa maji uliorekodiwa – kwa sehemu kutokana na mvua nzuri na kujazwa kwa uangalifu kwa hifadhi wakati wa misimu ya mvua katika kipindi cha miaka mitano.

8 Septemba, 2025
Afrika yatoa wito wa uwezkezaji katika sekta ya hali ya hewa na suluhisho zinazoongozwa na Afrika
Mkutano wa siku tatu wenye kaulimbiu “Kukuza Haraka Suluhisho za Hali ya Hewa Duniani: Ufadhili kwa Maendeleo Endelevu na Yenye Mazingira Safi Afrika” ulianza kwa sherehe ya kupanda miti katika viwanja vya ukumbi wa mkutano.

8 Septemba, 2025
Mahakama ya ICC kuanza kusikiliza kesi ya Joseph Kony
Kony anakabiliwa na mashitaka 39 ya uhalifu wa kivita na dhidi ya ubinadamu, yakiwemo mauaji, ubakaji, utumwa wa kingono, na utekaji wa watoto.



