Ethiopia yachagguliwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya hewa, COP32

Ethiopia inatazamiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya hewa wa COP32 mwaka 2027 baada ya Kundi la Wapatanishi wa Afrika kuidhinisha hatua hiyo.
12 Novemba, 2025
Ghana yafichua sababu ya ajali ya helikopta iliyoua watu wanane, wakiwemo mawaziri, mwezi Agosti

Ajali ya helikopta ya kijeshi nchini Ghana iliyowaua watu wanane, wakiwemo mawaziri wa ulinzi na mazingira, ilisababishwa na hali mbaya ya hewa, kulingana na uchunguzi rasmi uliochapishwa Jumanne.
12 Novemba, 2025
Kenya kuanzisha balozi zake mpya Vatican City, Denmark na Vietnam

Kulingana na baraza hilo, uwepo wa ofisi ya ubalozi nchini Vatican, ni wa faida kwa Kenya, kutokana na fursa za maendeleo ya miradi ya kijamii kama vile elimu na dini.
11 Novemba, 2025
Mtoto wa Gaddafi aachiliwa huru baada ya miaka kumi gerezani

Hannibal Gaddafi, kitinda mimba wa aliyekuwa kiongozi wa Libya hayati Muammar Gaddafi, hatimaye ameachiliwa huru na mamlaka za nchini Lebanon.
11 Novemba, 2025

Zaidi ya mataifa 20 yanalaani ukatili wa RSF nchini Sudan, na kutaka kukomeshwa kwa ghasia

Rais wa Misri, afisa mkuu wa usalama wa Urusi kujadili ushirikiano wa kijeshi

Maelfu ya wananchi wanashikiliwa katika hali mbaya sana katika Al Fasher, Sudan: madaktari

Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance aghairi ziara iliyopangwa nchini Kenya

‘Mauaji ya waandamanaji ni chukizo mbele za Mungu’
10 Novemba, 2025
Jeshi la Sudan lazima shambulio la RSF katika mji wa Babnousa huko Kordofan Magharibi
Jeshi la Sudan lilizima shambulio la Wanajeshi wa Msaada wa Haraka (RSF) siku ya Jumapili kwenye mji wa Babnousa huko Kordofan Magharibi, walioshuhudia walisema.

10 Novemba, 2025
Majeshi ya Somalia yawaua viongozi watatu wakuu wa Al Shabaab
Kikosi cha Wanajeshi wa Kitaifa wa Somalia kimefanya msururu wa operesheni katika maeneo ya Bakool na Bay, na kuwaua maafisa kadhaa waandamizi wa kundi la kigaidi la Al Shabab.

10 Novemba, 2025
Rwanda, DRC zaanzisha mfumo wa ushirikiano wa kiuchumi huku kukiwa na mazungumzo ya amani
Mfumo wa ushirikiano wa kiuchumi wa kikanda (REIF) “unaelezea maeneo muhimu ya kukuza ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo kati ya mataifa hayo mawili, kuonyesha manufaa yanayoonekana ya amani,” nchi hizo mbili zilisema.

9 Novemba, 2025
RSF yazika miili katika makaburi ya halaiki, inachoma wengine ili ‘kuficha ushahidi wa mauaji
Madaktari wa eneo hilo waliripoti Jumapili kwamba Vikosi vya Msaada wa Haraka vya kijeshi huko Al Fasher, magharibi mwa Sudan, wamezika mamia ya raia kwenye makaburi ya halaiki na kuwachoma wengine kuficha ushahidi wa uhalifu wa kivita

9 Novemba, 2025
Wananchi katika Al Fasher, Sudan, wanakabiliwa na ukatili ‘wa kiwango kisichoweza kuaminika’ — UN
Li Fung, Mwakilishi wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan, anasema Al Fasher imekuwa mji wa huzuni kwani Kikosi cha RSF kinaendelea na mashambulizi yake ya kinyama.

9 Novemba, 2025
Chama tawala nchini Djibouti kimemteua Rais Guelleh kwa muhula wa sita
Rais Ismail Omar Guelleh amekuwa madarakani tangu 1999, na hakuna vikwazo vya kisheria vinavyomzuia kugombea tena.

8 Novemba, 2025
Amaan Golugwa akamatwa huku polisi Tanzania ikiwasaka viongozi wa upinzani kufuatia maandamano
Tayari mamia ya wananchi wamefunguliwa mashtaka kwa makosa ya jinai huku viongozi wa upinzani wakiwekwa kwenye orodha mpya ya watakaokamatwa na kushtakiwa

8 Novemba, 2025
Wafanyakazi waokolewa baada ya maharamia kushambulia meli ya mafuta kutoka Somalia
Maharamia hao waliiacha meli ya mfanyabiashara baada ya “kuonyeshwa nguvu”, taarifa ya Jeshi la Wanamaji la Umoja wa Ulaya ilisema.

8 Novemba, 2025
Mwanajeshi wa Uingereza akamatwa kwa mauaji ya mwanamke wa Kenya mwaka 2012
Robert James Purkiss aliyekamatwa huko Tidworth, Wiltshire mnamo 6 Novemba na alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu ya Westminster siku ya Ijumaa na huenda akarejeshwa Kenya kujibu mashtaka

8 Novemba, 2025
Trump aapa hakuna afisa wa Marekani atakayehudhuria Mkutano wa G20 nchini Afrika Kusini
Trump anasema anatarajia kuandaa Mkutano wa G20 wa 2026 huko Miami.



