18 Novemba, 2025

Tanzania huenda ikakabiliwa na changamoto kupata mikopo kutoka nje, amesema Rais Samia

Uwezo wa Tanzania kupata mikopo kutoka taasisi za kimataifa huenda ukakumbana na changamoto baada ya sifa yake kuharibika kimataifa, amesema Rais Samia Suluhu Hassan siku ya Jumanne wakati wa kuwaapisha mawaziri.

215e729c227d163ce9c006b9df3c3537b719e44ec5b6b5bdddd10074b947dab1 main

18 Novemba, 2025

Sura mpya Baraza la Mawaziri Tanzania

Taifa hilo limeshuhua kuapishwa kwa baraza jipya la mawaziri, Novemba 18 huku kukiwa na maingizo mapya katika baraza hilo lenye jumla ya wizara 27.

28c04f0394ce8eb383177a714ec622475768239c208c4aab4941497c761309b4

18 Novemba, 2025

Cape Verde, Mauritius na Ushelisheli wafanikiwa kuangamiza surua na rubela

WHO imetangaza kuangamizwa kwa magonjwa ya Surua na Rubela nchini Mauritius, Ushelisheli na Cape Verde, ikiwa ni mara ya kwanza kwa mafanikio hayo kusini mwa jangwa la Sahara.

b22d81d601df212a2d86d885f755b6017c2807c9c99d5c5dcf0c9198817293fc

18 Novemba, 2025

Zaidi ya watu 100,000 wamekimbia makazi yao kutoka Al Fasher ya Sudan tangu kutwaliwa na RSF

Zaidi ya raia 100,000 wamefurushwa kutoka kwa Al Fasher magharibi mwa Sudan tangu kuchukuliwa kwa mji huo na Wanajeshi wa Msaada wa Haraka (RSF) mwezi uliopita, IOM imesema.

743dd9c14316e49c8e4f790ad6684e974205c2bf07b42d6e59271543fafb825a main 1

17 Novemba, 2025

Rais wa Tanzania amteua binti na mkwe wake katika Baraza la Mawaziri

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua binti yake, Wanu Hafidh Ameir, kuwa Naibu Waziri wa Elimu. Hafidh Ameir, mwenye umri wa miaka 43, ni Mbunge wa Jimbo la Makunduchi.

710b0cedcc4efd74b557dd8dcbb702093c63ddda63b9dc9545f766e025ab471e main

17 Novemba, 2025

Rais Samia amteua waziri mpya wa fedha, awaacha mawaziri wa mambo ya nje na madini madarakani

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Jumatatu alimteua balozi wa nchi hiyo nchini China, Khamis Mussa Omar, kuwa waziri wa fedha katika baraza lake jipya la mawaziri kufuatia uchaguzi uliokumbwa na utata mwezi uliopita.

aa49ccd0980be1021d5a23719777da797da86203cadb4936f67f3f5905f4f9b2 main

17 Novemba, 2025

Tovuti za taasisi za serikali ya Kenya zashambuliwa

Mashambulizi hayi yalilenga baadhi ya mashirika ya serikali yanayotoa huduma muhimu.

6697f6d87c35c109124ad7eba814897e5fa0eeac88e9803f4251a3b51d815be3

17 Novemba, 2025

Mgodi waporomoka DRC na kuua watu wasiopungua 32

Daraja lililoporomoka katika mgodi wa cobalt kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na kuua wachimba migodi 32, afisa wa serikali ya mkoa alisema Jumapili.

2025 11 13t171214z 1 lynxmpelac0yo rtroptp 3 cobalt congo traceability main

16 Novemba, 2025

Wahamiaji 4 wafariki baada ya boti mbili zilizokuwa zimebeba makumi ya watu kuzama pwani ya Libya

Wahamiaji wanne walifariki baada ya boti mbili zilizokuwa zimebeba karibu watu 100 kupinduka katika pwani ya Al-Khums kaskazini magharibi mwa Libya, Shirika la Hilali Nyekundu la Libya lilisema Jumamosi jioni.

2025 11 16t062839z 1 lynxmpelaf02n rtroptp 3 libya migration main

16 Novemba, 2025

Kikundi cha matabibu kinaripoti visa ya ubakaji wa wasichana wa Al Fasher baada ya RSF kuteka

Mtandao wa Madaktari wa Sudan unasema ubakaji “ni sawa na uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu.”

27a726c13ba48613d292a9c6b582758789b39559657f934641c14aed0c89ad92
Loading...