Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon afariki akiwa kizuizini

Wakili Emmanuel Simh aliwaambia waandishi wa habari kuwa Ekane amekuwa akezuiliwa katika makao ya gendarmarie tangu alipokamatwa tarehe 24 Oktoba kwa mashtaka ya uasi.
2 Desemba, 2025
DRC inasema mlipuko wa hivi punde wa Ebola umemalizika

Mamlaka ya afya nchini DRC Jumatatu ilitangaza kumalizika kwa mlipuko wa hivi punde wa ugonjwa wa Ebola, ambao umesababisha vifo vya watu 34 tangu Agosti.
2 Desemba, 2025
Mataifa ya Kiafrika yaanza kwa mara ya kwanza kutoa kwa umma chanjo za kuzuia VVU

Lenacapavir, inayochukuliwa mara mbili kwa mwaka, imeonyeshwa kupunguza hatari ya maambukizi ya VVU kwa zaidi ya asilimia 99.9, na kuifanya kiutendaji kuwa sawa na chanjo yenye nguvu.
2 Desemba, 2025
Watu 37 hawajulikani walipo baada ya boti kuzama kusini mwa DRC

Boti hiyo iliyokuwa na abiria 42, ilizama Mto Luangatshimo.
1 Desemba, 2025

Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon Anicet Ekane afia kizuizini

Marekani yatoa tahadhari kwa raia wake Tanzania

Jeshi la Sudan limeteka maeneo kadhaa huko Kordofan Kusini baada ya makabiliano makali na RSF

Ramaphosa apuuzilia mbali tishio la Trump la kuizuia Afrika Kusini kushiriki mkutano wa G20 wa 2026

Misri inatoa mafunzo kwa mamia ya Wapalestina watakaohudumu kama jeshi la polisi la baadaye la Gaza
30 Novemba, 2025
Serikali ya Sudan inaonyesha utayari wa kufanya kazi na Umoja wa Mataifa ili kuhakikisha amani
Serikali ya Sudan imeonyesha nia yake ya kufanya kazi na kushirikiana na Umoja wa Mataifa ili kufikia amani na usalama nchini na kuhakikisha utoaji wa msaada wa kibinadamu.

30 Novemba, 2025
Watawala wa kijeshi wa Guinea-Bissau wateua maafisa watano wa jeshi kwa serikali
Watawala wa kijeshi wa Guinea-Bissau waliunda serikali siku ya Jumamosi siku kadhaa baada ya kuchukua madaraka kwa mapinduzi, wakati Rais aliyepinduliwa Umaro Sissoco Embalo akiwasili katika mji mkuu wa Jamhuri ya Congo Brazzaville.

30 Novemba, 2025
Marais wa DRC, Rwanda kutia saini mkataba wa amani mjini Washington wiki ijayo
Marais wa DRC na Rwanda watasafiri hadi Washington wiki ijayo kutia saini mkataba wa amani na kukutana na Rais wa Marekani Donald Trump, vyanzo vitatu vimeiambia Reuters.

30 Novemba, 2025
KWS imekanusha madai kuwa ujenzi wa hoteli umevuruga uhamaji wa nyumbu katika Maasai Mara
Hoteli hii ndiyo kielelezo cha hivi punde zaidi katika mpasuko mpana zaidi wa sekta ya utalii wa wanyamapori Afrika Mashariki.

30 Novemba, 2025
Takriban watu 20 wanahofiwa kufariki baada ya boti kupinduka kaskazini magharibi mwa DRC
Takriban watu 20 wamefariki na wengine kadhaa hawajulikani waliko baada ya mashua kupinduka kaskazini magharibi mwa Congo, kulingana na wakaazi wa eneo hilo.

30 Novemba, 2025
Watu saba wauawa nchini Kenya, wakiwemo askari polisi wa akiba, katika tukio la wizi wa ng’ombe
Watu saba, wakiwemo askari wa akiba wa Huduma ya Kitaifa ya Polisi, waliuawa siku ya Jumamosi katika mashambulizi yaliyopangwa ya wizi wa mifugo ambayo yalikumba vijiji vingi vya kaskazini Mashariki ya Kenya, mamlaka ilisema.

28 Novemba, 2025
Umoja wa Afrika umesitisha uanachama wa Guinea-Bissau kufuatia mapinduzi ya kijeshi
Jeshi la Guinea-Bissau limemteua Jenerali Horta Inta-A kama Rais wa mpito wa nchi hiyo siku ya Alhamisi.

28 Novemba, 2025
RSF nchini Sudan watuhumiwa kuigeuza hospitali ya Kordofan Magharibi kuwa kambi ya kijeshi
Kundi la Madaktari nchini Sudan limesema kwamba wapiganaji wa RSF wameigeuza Hospitali ya Al-Nuhud kuwa kituo cha kijeshi, hatua iliyowalazimu wahudumu wa afya kukimbia na kuwaacha raia bila huduma muhimu.

28 Novemba, 2025
Binti wa Zuma ajiuzulu ubunge Afrika Kusini
Zuma-Sambudla hajatoa ufafanuzi wowote hadharani kuhusu madai ya kuwarubuni watu kuenda kupigana nje ya nchi.

28 Novemba, 2025
Mwanasiasa Adolf Hitler ashinda kwa mara ya 5 mfululizo Namibia
Mwanasiasa huyo mwenye umri wa miaka 59 anasema yeye ni tofauti kabisa na dikteta huyo wa Ujerumani, na anapenda atambuliwe kwa jina lake la asili



