22 Desemba, 2025

Serikali ya Nigeria imesema wanafunzi 130 zaidi waliotekwa nyara wameokolewa

Mamlaka ya Nigeria imefanikiwa kuokoa watoto wa shule 130 waliotekwa nyara na watu wenye silaha kutoka shule ya Kikatoliki mnamo Novemba 2025, msemaji wa rais alisema Jumapili, baada ya 100 kuachiliwa mapema mwezi huu.

990d3cac78dae960d163f8ed659ee67b6316298911e8c2ecc09de42a1f702aba main

22 Desemba, 2025

Somalia yaimarisha usalama kabla ya uchaguzi wa kwanza wa mitaa katika miongo kadhaa

Somalia itapeleka zaidi ya maafisa 10,000 wa usalama katika mji mkuu, Mogadishu, kabla ya uchaguzi wa mitaa wiki ijayo – uchaguzi wa kwanza wa moja kwa moja katika karibu miaka 60 – waziri wa usalama alisema.

2025 05 06t090945z 863859745 rc2w0ea50yxw rtrmadp 3 somalia election main

22 Desemba, 2025

Shambulizi la ndege zisizo na rubani za Sudan kwenye soko la Darfur laua watu 10, waokoaji wamesema

Shambulio la ndege zisizo na rubani kwenye soko lenye shughuli nyingi katika jimbo la Darfur Kaskazini nchini Sudan liliua watu 10 mwishoni mwa juma, maafisa wa uokoaji walisema, bila kutaja nani alihusika.

sudan 87706 main

21 Desemba, 2025

Trump aingiza ‘huduma ya Kikristo’ katika mkataba wa afya wa Marekani na Nigeria

Trump alikuwa amesema kuwa Marekani iko tayari kuchukua hatua za kijeshi nchini Nigeria kukabiliana na “mauaji ya Wakristo”.

0b2675652c67a42329ae9f885b5eb065ebbbd2c621b9d463837fd9b410646e81

21 Desemba, 2025

Viongozi wa Somalia na Ethiopia wajadili uhusiano katika maadhimisho ya Azimio la Ankara

Azimio la Ankara, lililotiwa saini mwezi Disemba 2024, lilipongezwa na viongozi wa dunia kwa kutuliza hofu ya mzozo mkubwa wa kikanda katika Pembe ya Afrika.

a6cab1f1002151c32775dcbc1ca52b7ac50f83149bafe8e5b752fef6c4d583f8

21 Desemba, 2025

Bunge la Algeria lafungua mjadala kuhusu mswada wa kuharamisha utawala wa kikoloni wa Ufaransa

Rasimu ya sheria inalenga kuainisha utawala wa kikoloni wa Ufaransa nchini Algeria kati ya 1830 na 1962 kama uhalifu.

542edae1afac04c1525c1c8dcc1b515c04360fd6926d3408f88ce27705982c19

21 Desemba, 2025

Mabalozi wa Uturuki katika nchi za Afrika watembelea Jumba la Afrika

Mabalozi wa Uturuki barani Afrika walikusanyika mjini Ankara kwa ajili ya Kongamano la Mabalozi, na kutembelea Jumba la Sanaa za Mikono na Utamaduni la Kiafrika, ambalo lilianzishwa chini ya uangalizi wa mke wa Rais Recep Tayyip Erdoğan Emine Erdoğan

27ade64414c4b86b2398905dc38ada4ac33defbb4e3370adfa8ebb0a8ce78de6

20 Desemba, 2025

Uturuki inawasilisha mzigo wa kwanza wa mahema 30,000 ya misaada nchini Sudan

Meli iliyobeba mahema 10,000 ya kwanza kati ya 30,000 yaliyotolewa kwa Sudan na Mamlaka ya Usimamizi wa Maafa na Dharura ya Uturuki (AFAD) kwa ushirikiano na Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) iliwasili Bandari ya Sudan.

f9e3979704fad4ce9d46bea885831ccaec162e0a00e74b7e2f6a3655be33496c

20 Desemba, 2025

Baraza la Usalama la UN laongezea MONUSCO mamlaka kwa mwaka mmoja zaidi

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja azimiol akuongezea ujumbe wa kulinda amani nchini DRC MONUSCO mwaka mmoja zaidi

1766232898615 8usuop 8642c99f07f64eb9258f57a1df72ff8074dcb02dd1e9fc7c943a710b4894fcf6

20 Desemba, 2025

Umoja wa Afrika waapa uwajibikaji kwa mashambulizi ya RSF dhidi ya raia wa Sudan

AU imethibitisha tena msaada wake kwa umoja na utawala wa Sudan wakati ikiwaonya RSF kwamba vurugu dhidi ya wananchi hazitapita bila adhabu.

d025b52a01a8b446d77963a28a421bdd8fa70dee045073345a39579d197bfc46
Loading...