Angelina Jolie atembelea kivuko cha Rafah nchini Misri huku janga la kibinadamu likizidi kuongezeka

Jolie anatembelea kuona hali ya Wapalestina waliojeruhiwa waliohamishiwa Misri na kuangalia jinsi misaada inavyopelekwa katika eneo lililoharibiwa.
3 Januari, 2026
Raia wa Nigeria wametakiwa kurudisha mabaki kutoka mashambulizi ya anga ya Marekani

Kanda za mtandaoni zilionyesha wenyeji wakifukua vifusi na silaha zisizolipuka kwenye maeneo ya shambulio katika jimbo la Sokoto, na hivyo kuzua hofu ya milipuko mibaya.
3 Januari, 2026
Dereva wa Anthony Joshua ashtakiwa kufuatia ajali iliyosababisha vifo

Polisi nchini Nigeria wamemshtaki dereva wa bondia Anthony Joshua kwa kosa la kuendesha gari kwa uzembe na kwa hatari, kufuatia ajali iliyosababisha vifo.
2 Januari, 2026
Timu ya Sudan inatumai mafanikio katika michuano ya AFCON yanaweza kumaliza vita

Sudan ina matumaini kuwa ushindi dhidi ya Senegal katika Kombe la Mataifa ya Afrika siku ya Jumamosi unaweza kuchochea usitishaji wa mapigano nchini humo, au hata kuleta amani ya muda mrefu, alisema kocha Kwesi Appiah siku ya Ijumaa.
2 Januari, 2026

AFCON 2025: Mchakamchaka wa kutafuta nafasi za robo fainali

Shughuli za kuwaokoa waathirika waliokwama ndani ya jengo refu lililoporomoka Nairobi zaendelea

Mshauri wa kamanda wa RSF na wasaidizi wake ‘wauawa’ katika shambulio la droni Sudan

Somalia kuongoza Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

Sudan yaanza ukarabati wa gridi ya taifa ya umeme mjini Khartoum
1 Januari, 2026
DRC yaishutumu Rwanda kwa kuua zaidi ya raia 1,500 katika mwezi uliopita
Tangu waasi wa M23 walipoanza tena mapigano mwaka 2021, wamechukua maeneo makubwa ya mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) yenye utajiri wa madini, hali iliyosababisha mgogoro mkubwa wa kibinadamu unaozidi kuongezeka.

1 Januari, 2026
‘Hatutaki Israel ituletee matatizo,’ rais wa Somalia anasema
‘Kama Israel inajiweka katika maeneo ya watu kushambulia sehemu za watu wengine, basi hao watu pia watashambulia Somaliland na Somalia,’ rais wa Somalia ameonya baada ya Israel kutambua eneo lililojitenga.

1 Januari, 2026
Kiongozi wa Sudan Burhan aapa ushindi dhidi ya RSF, anasema upatanishi unawezekana
Tunawahakikishia watu wetu kote kwamba ushindi unakuja,’ Abdel Fattah al-Burhan anasema

1 Januari, 2026
Bondia Anthony Joshua aruhusiwa kutoka hospitali
Imethibitishwa kwamba, afya ya bingwa wa zamani wa ngumi za uzito wa juu iko imara, kuruhusiwa kutoka hospitali na kufuatilia maendeleo ya afya yake akiwa nyumbani.

1 Januari, 2026
Madagascar yatangaza kuthibitishwa kwa maambukizi 5 ya ugonjwa wa mpox
Kituo cha dharura cha afya ya umma kimeanzishwa ili kuweza kutambua na kuwatenga wenye maambukizi, kuimarisha tathmini za kiafya katika maeneo ya mipakani na viwanja vya ndege

31 Desemba, 2025
Jeshi la Sudan lachukua udhibiti wa miji miwili kutoka RSF Kordofan Kaskazini
Jeshi la Sudan limefanikiwa kurejesha udhibiti wa miji ya Kazgeil na Riyadh katika jimbo la Kordofan Kaskazini baada ya mapigano na wanamgambo wa RSF, vyanzo vya kijeshi vilisema Jumatano.

31 Desemba, 2025
Israel yaitambua Somaliland kwa lengo la kijeshi na kuwahamisha Wapalestina: Rais wa Somalia
Rais wa Somalia amesema Israel haipo katika eneo hilo kwa ajili ya amani, bali inalenga kuwafurusha Wapalestina kwenda Somalia.

31 Desemba, 2025
Jaji wa Marekani azuia mpango wa Trump wa kuwafukuza wahamiaji wa Sudan Kusini
Jaji wa Marekani amezuia mpango wa serikali kuu kuanza kuwafukuza wahamiaji hadi kesi inayopinga agizo la Rais Donald Trump itakapomalizika.

31 Desemba, 2025
Burkina Faso, Mali wanaweka vikwazo vya visa kwa raia wa Marekani kama hatua ya kulipiza kisasi
Hatua hizo za nchi za Afrika Magharibi zinakuja huku Marekani ikipanua vikwazo vya usafiri kwa mataifa kadhaa, hasa barani Afrika, kuanza kutekelezwa tarehe 1 Januari.

31 Desemba, 2025
Marekani inakagua Uraia waliopewa Wasomalia kwa ajili ya uwezekano wa kubatilishwa walio laghai
Kwa mujibu wa sheria za uhamiaji za marekani, ikiwa mtu alipata uraia kwa njia za udanganyifu, uraia huo unaweza kubatilishwa.



