2 Juni, 2026

Wanafunzi tisa wafikishwa mahakamani Kenya kwa madai ya kuchoma moto shule

Wachunguzi wameomba muda zaidi kuchunguza moto huo ambao ulianzishwa kwa kuchoma godoro karibu na mlango wa bweni kwa kutumia kiberiti na mafuta ya taa.

a65889bdf4ec7952ff2e04988500e780f62feee8c3539f627fd1cc65d68876e2

2 Juni, 2026

Serikali ya Tanzania inataka utatuzi wa haraka wa kero za watumishi wa umma

Amesema vitendo hivyo vinachangia kudhoofisha ufanisi wa utendaji kazi na kuongeza malalamiko ya wananchi kuhusu huduma za umma, huku akisisitiza matumizi ya TEHAMA kuongeza uwazi na uwajibikaji.

35c4f3f542976cfff6c1274e6f865d8d159657b10e50e4bcc7f0f03c05c7f02f

2 Juni, 2026

Rais Faye wa Senegal aunda serikali mpya bila chama cha Sonko

Senegal inakabiliwa na hali ya sintofahamu ya kisiasa baada ya Rais Faye kutangaza baraza jipya la mawaziri ambalo halijajumuisha chama tawala cha PASTEF kinachoongozwa na mshirika wake wa zamani, Ousmane Sonko.

8b8fda1384d53808fddf06827002d7371c81e56c245ed81c642b75e3f3243fd5

2 Juni, 2026

Mahakama Kuu Kenya yaendelea kuzuia mpango wa kujenga kituo cha Ebola

Kumekuwa na hali ya wasiwasi kufuatia hatua ya serikali ya kutaka kuweka kituo cha karantini kwa jili ya raia wa Marekan huku ikiibua maswali kuhusu afya ya umma, uwazi katika mchakato huo, pamoja na masuala ya kikatiba na mamlaka ya taifa.

67dd6fca16904dc721459fef10edbe40cb6ca545aae092a832bb698efb9b6a40

1 Juni, 2026

Maambukizi ya Ebola DRC yaongezeka hadi 282, serikali imesema

Maambukizi yaliyothibitishwa ya Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo sasa yamefikia 282, serikali ya taifa hilo la Afrika ya Kati ilisema siku ya Jumapili.

789c455ac66e05fd8d767922687ed709353ade9a0d7cc608ce38f49f11a29be3

1 Juni, 2026

Mahakama ya usuluhishi yakataa madai ya Dola milioni 134 ya Rwanda kwa mkataba wa Uingereza

Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi imekataa ombi la Dola milioni 134 la Rwanda dhidi ya Uingereza kwa kukiuka mkataba wa wahamiaji

6b08c7465d162d8144364e864dc172776603cb60099b559b9e7f9e83e6e82f95

1 Juni, 2026

Mamia waandamana nje ya kituo cha karantini cha Ebola cha Kenya kwa raia wa Marekani

Marekani imesema inasalia na imani kwamba wasiwasi unaohusu kituo kilichopendekezwa cha kutengwa kwa waathiriwa wa Ebola unaweza kutatuliwa baada ya Mahakama Kuu ya Kenya kusimamisha kwa muda mradi huo.

kenya ebola 76373

1 Juni, 2026

Maombolezi yaendelea kwa wanafunzi 16 waliokufa moto shuleni Kenya huku lawama zikienea

Ajali hii ya moto, inatonesha kidonda cha ajali za moto zilizowahi kutokea shuleni huku suala kubwa likimulikwa katika usalama mzima mashuleni.

7549e3ccdfcccb46737d804496a6479d359aeba222a48e5eb312152309dd5b0d

1 Juni, 2026

Wapiga kura wajitokeza kwa wingi katik uchaguzi mkuu nchini Ethiopia

Waangalizi kutoka Umoja wa Afrika (AU), wenye makao makuu yao Addis Ababa, pamoja na jumuiya ya kikanda ya Afrika Mashariki IGAD, wanafuatilia uchaguzi mkuu nchini humo.

e108ad22ae27cab63c1f45cdaaffaaf4abb0cb8a968467effbe5fb47f95f5ce0

31 Mei, 2026

Wagonjwa watano wapona Ebola nchini DRC, WHO yathibitisha

Wagonjwa watano wamepona aina adimu ya Ebola, mkuu wa Shirika la Afya Ulimwenguni alisema Jumapili wakati wa ziara yake mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

2026 05 31t110637z 1690577980 rc29klaojqle rtrmadp 3 health ebola who main
Loading...