9 Januari, 2026

Trump aonya kuhusu mashambulizi zaidi ya Marekani nchini Nigeria

Rais wa Marekani Donald Trump amesema huenda kukawa na mashambulizi zaidi ya kijeshi ya Marekani nchini Nigeria iwapo Wakristo wataendelea kuuawa nchini humo, licha ya Nigeria kukana mara kwa mara madai ya kuwa Wakristo wanateswa kwa mfumo maalumu.

e2d5ff85e7e378259ce78ba59a2299594889a6074ec3a35ab4f3820cb4f8fbec

9 Januari, 2026

Makundi ya waasi kuteka eneo la Uvira karibu na mpaka wa DRC na Burundi yatia hofu katika kanda

Jumuiya ya kikanda imetoa wito kwa wanachama kuchukua hatua ili kuepusha mapigano kuzidi huku mkutano ukianza kujadili ‘hali mbaya kwa watu na hatari ya usalama kwa mataifa jirani’

2d5d87b53510f8bcbc30299d28aa3fdb7151f745225e615c80447be1bbb21319

9 Januari, 2026

Rais Samia wa Tanzania afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri ndani ya siku 54

Mabadiliko hayo ambayo yamefanyika ndani ya siku 54 tangu kutangazwa kwa Baraza la Kwanza la Mawaziri wa kipindi cha pili cha serikali ya Awamu ya Sita.

743fe579a8426350c26aafffeb96729a1839aa5a9afd1bf49511d275098c2870

8 Januari, 2026

Waafrika Kusini waandamana nje ya ubalozi wa Marekani dhidi ya mashambulizi ya kijeshi Venezuela

Waaandamanaji walitoa kauli dhidi ya Marekani nje ya ubalozi wao mjini Pretoria

c3b6bc121fcc9a7f4feff0e8f9a7e74d5bddc8ef50b952cb698120fa57c02268

8 Januari, 2026

Somalia yachunguza madai ya kutumika kwa anga yake na kiongozi wa Yemen anayetaka kujitenga

Somalia inaunga mkono wito wa Saudi Arabia wa kutaka majadiliano mjini Riyadh kama ‘mchakato sahihi wa kisiasa’ wa kutatua matatizo nchini Yemen, inasema idara ya Uhamiaji ya Somalia

d9e4e7456dedae1d31b3812f6f80ccbef264b7c90c8b4af20906f84ac7fa6705

8 Januari, 2026

Bobi Wine kutathmini mikataba ya mafuta iwapo atachaguliwa kuwa rais Uganda

Mgombea wa urais wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, amesema kuwa iwapo atapata ridhaa wa wananchi ya kuliongoza taifa hilo, basi atapitia upya mikataba ya mafuta ya nchi hiyo.

2026 01 08t090855z 557507934 rc2bsiax5077 rtrmadp 3 uganda politics

8 Januari, 2026

Sokwe wa DRC ajifungua mapacha

Picha zilizotolewa na shirika la habari la hifadhi ya nchi hiyo zilimuonesha sokwe huyo aliyepewa jina la Mafuko mwenye umri wa miaka 22 akiwa amewakumbatia watoto wake.

6ca3334e5b229b2d4baeab5422badf3464f8e1a44ca00b5f6eec926f4dd7f7f0

8 Januari, 2026

Mshambuliaji wa Algeria awaomba radhi mashabiki wa DRC

Mshambuliaji wa Algeria, Mohamed Amoura, ameomba radhi kufuatia ishara tata aliyoifanya wakati wa kusherehekea ushindi wa timu yake dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025.

19339071745364027777f8fe9f00d01b31068c750275f8eb5eedeff992e20ddc main

7 Januari, 2026

Rais Touadera amualika Putin wa Urusi kutembelea Jamhuri ya Afrika ya Kati

Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Faustin-Archange Touadera, amemualika Rais wa Urusi Vladimir Putin kutembelea nchi yake, shirika la habari la serikali la Urusi TASS liliripoti siku ya Jumatano.

786866935b2502d34ade9e77d472b554e27e20c10be90c04136f4b4d3427db7f

7 Januari, 2026

Waziri wa zamani wa sheria Nigeria Malami apewa dhamana katika kesi ya fedha zilizoibwa

Waendesha mashtaka wanasema Abubakar Malami alitakatisha fedha za umma kati ya 2015 na 2023 kupitia washirika wake.

a494abb0a94e1decd8ce4261c68b89337284f908232b6a3803417132276adae2
Loading...