15 Januari, 2026

Misri haitachelewa kuchukua hatua zinazohitajika’ ili kulinda umoja wa Sudan: Waziri wa Mambo ya Nje

Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri, Badr Abdelatty, alisema Jumatano kuwa Misri itachukua hatua zote zinazohitajika ili kulinda umoja wa Sudan, wakati nchi jirani hiyo inapokaribia mwaka wake wa nne wa vita kati ya jeshi na vikosi vya RSF.

un trusteeship council 19224 main

15 Januari, 2026

Wananchi Uganda waanza kupiga kura, huku ulinzi ukiimarishwa

Zoezi la upigaji kura linatarajiwa kufungwa saa kumi jioni huku matokeo yakitarajiwa kutangazwa ndani ya saa 48, yaani kufikia Jumamosi alasiri.

2026 01 14t172007z 1950434946 rc251jax9chb rtrmadp 3 uganda election

14 Januari, 2026

Rwanda yaungana na Ghana katika kutuma wahandisi wa kijeshi nchini Jamaica

Rwanda imetuma kikosi cha wahandisi wa kijeshi kwenda Jamaica ili “kusaidia juhudi za kujenga upya taifa hilo la Karibi kwa kukarabati miundombinu iliyoharibiwa na kimbunga kikali” mwaka 2025, Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) lilisema Jumatano.

51bfd887a6e3a8d4d2ff679df6d02ae06ed4defcd2cd3bd6e5a9e4d0720a7fbc

14 Januari, 2026

Waziri Mkuu wa Tanzania ataka Watanzania wapewe kipaumbele katika masuala ya ajira

Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amezitaka wizara zinazohusika na masuala ya ajira kuhakikisha utekelezaji madhubuti wa sheria zinazolinda nafasi za kazi kwa Watanzania.

1543080383fc30891973ebac1df8ae9b8e4fc38571de803c3909de6e7657109d

14 Januari, 2026

Uganda inasema iko tayari kwa uchaguzi mkuu

Serikali ya Uganda imetangaza rasmi tarehe 15 na 16 Januari 2026 kuwa siku za mapumziko ili kutoa fursa kwa raia ya kushiriki kwa ukamilifu katika zoezi la kupiga kura

2026 01 13t165456z 1189042457 rc2f0ja9yp20 rtrmadp 3 uganda election

13 Januari, 2026

Uganda kuzima mtandao wa intaneti siku ya uchaguzi: Mamlaka ya mawasiliano

Mamlaka ya mawasiliano nchini Uganda imetangaza kuwa itazima mtandao wa intaneti siku ya Jumanne, siku mbili tu kabla ya uchaguzi ambao Rais Yoweri Museveni atagombea dhidi ya Bobi Wine.

fde2b6d411c3933ec6307f6a27fd1bcda009e9cbf158537438c0e05e52d924b0

13 Januari, 2026

Afrika Kusini yaonya kuwepo kwa mamba na viboko katika maeneo ya makazi baada ya mvua kubwa

Mamlaka nchini humo zimewataka wakazi wa maeneo hayo kuwa waangalifu, na kuepuka maeneo yenye mafuriko.

4f801e9d8901c215e00cb6a0d7df2f61b16283f63323a38c042a52f1cdce642d

13 Januari, 2026

Jeshi la Sudan linasema limepata mafanikio dhidi ya wapiganaji wanaowaunga mkono RSF

Serikali ya Sudan inasema itaendelea kuimarisha usalama katika miji na maeneo ya kimkakati.

abd54dc44f39abe6c42e4bdada93fbc7a0b112c4b78cdc4a514ebf39331846ca

13 Januari, 2026

Sudan yaandaa sherehe za kupatikana vito 570 vilivyoporwa

Mamlaka hapo awali zilisema baadhi ya vito vilivyoibiwa tayari vimesafirishwa kwa magendo kuvuka mipaka, na sehemu kubwa ya vito hivyo bado haijulikani viliko.

a0d79e20d7f75357bc2b7904a4f9440af7f079d321e03fccae6c86550739ac62

13 Januari, 2026

Sudan kuijenga upya Khartoum baada ya serikali kurudi katika mji mkuu

Serikali ya Sudani Jumatatu ilipitia mipango ya kujenga upya mji mkuu wa Khartoum na kurudisha huduma za msingi, baada ya serikali kuchukua uamuzi wa kuendelea na shughuli zake kutoka mjini humo.

1761404345063 y9c14h f2f6edfe2e0c9847c799bcfd106918ebfc348dee8536e738d3fd01b23a628f9a main
Loading...