19 Januari, 2026

Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) kumuadhibu kocha wa Senegal Pape Thiaw

Thiaw anatuhumiwa kwa kuwashawishi wachezaji wake kutoka uwanjani muda mfupi baada ya mwamuzi wa mchezo wao, Jean-Jacques Ndala kuizawadia Morocco penati iliyoghubikwa na utata.

68bfc0ae2770b138a12aa068c91fcc0eb2c25af3d946bfb1b4bdd3f9ff9c1e86

19 Januari, 2026

Viongozi wa Afrika wampongeza Museveni kwa ushindi wa Uchaguzi Mkuu

Ushindi wa Museveni unathibitisha nafasi yake kama mmoja wa viongozi wa Afrika wa muda mrefu, tangu kuingia madarakani mwaka 1986.

2026 01 13t165717z 313290900 rc2f0jazpckm rtrmadp 3 uganda election

19 Januari, 2026

Rais Chapo avunja safari ya Davos kwa sababu ya mafuriko Msumbiji

Ripoti ya Umoja wa Mataifa imenukuu vyanzo vya serikali vikikadiria kuathirika kwa zaidi ya watu 400,000

1768812629898 5jocln a84e7cc9fce6408baebd028c2b71252569e1d43059bdb4dbbb64cb56faa34046

19 Januari, 2026

Nigeria yauwa magaidi 40 wa Boko Haram

Jeshi la Anga limesema operesheni zilizolenga kundi la kigaidi zilifanyika katika jimbo la Borno kaskazini-mashariki.

9ebe8d7bb76534cd42e9a9b2961e4b094d1a135bd53293089e2b903172ac4da9

19 Januari, 2026

Museveni asema upinzani ‘una bahati,’ na kwamba ushindi ungekuwa mkubwa zaidi

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema katika hotuba yake ya Jumapili kuwa ushindi wake wa kishindo katika uchaguzi wa Uganda unaonyesha nguvu ya chama chake.

2026 01 12t111109z 1 lynxmpem0b0gn rtroptp 3 uganda election main

19 Januari, 2026

Afrika Kusini yatangaza janga la kitaifa baada ya mvua kali na mafuriko

Afrika Kusini mwishoni mwa juma ilitangaza hali ya hatari ya kitaifa baada ya mafuriko makubwa kuharibu makazi na kusababisha vifo vya watu wengi, huku maelfu wakiomba hifadhi katika nchi jirani ya Msumbiji.

edd6d393d0fb5b097fcae88ad59416597f0b6e9875631e99f302affd28a8257e main

18 Januari, 2026

Watu saba wauawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani za RSF sokoni huko Kordofan, Sudan

Watu saba waliuawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani za Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) ambacho kililenga soko maarufu huko Kordofan Kusini, kikundi cha madaktari kilisema Jumamosi.

1768136664878 yz31wg cb3e050394f5803a518ef703de5231f82d3132b4781dfc072a7061e7fcc121b6 main

18 Januari, 2026

Rais wa Guinea Doumbouya aapa kutotumia mamlaka kwa manufaa binafsi

Doumbouya ameshinda uchaguzi wa Desemba kwa 86.7% ya kura.

2026 01 17t191354z 1830674523 rc213ja71tuf rtrmadp 3 guinea election inauguration

17 Januari, 2026

Museveni wa Uganda ashinda uchaguzi wa urais kwa kishindo na kurefusha utawala wa miaka 40

Rais wa sasa Yoweri Museveni alipata asilimia 71.65 ya kura huku mpinzani wake mkuu Bobi Wine akienda mafichoni baada ya uvamizi wa polisi nyumbani kwake katika mji mkuu, Kampala.

8ed1037d15f665226fcbf7717afba98c861e89c865ede0b7a24b630713578d35

17 Januari, 2026

Polisi nchini Uganda wamekanusha kumkamata kiongozi wa upinzani kabla ya matokeo ya kura ya urais

Polisi wamewataka raia kuwa na amani baada ya chama cha upinzani kusema kuwa kiongozi wake Bobi Wine amekamatwa nyumbani kwake na kupelekwa katika helikopta ya jeshi.

1768644826437 b8vwmzj a49983b371be311b0e8fb1db1d6e3e67df6ec726dfb1567f40473d09e8777690
Loading...