23 Januari, 2026

Mkuu wa Majeshi Uganda asema wamewaua wapinzani 30

Rais wa Uganda Yoweri Museveni, mwenye umri wa miaka 81, alishinda muhula wake wa saba kwa kupata asilimia 72 ya kura dhidi ya mpinzani wake Bobi Wine ambaye amepata asilimia 25, kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi nchini Uganda.

2025 05 02t134327z 1 lynxmpel410m4 rtroptp 3 uganda politics

23 Januari, 2026

Rais Putin wa Urusi ampongeza Rais Museveni wa Uganda

Rais Yoweri Museveni alipata asilimia 71.6 ya kura katika uchaguzi wa urais uliofanyika tarehe 15 Januari, na hivyo kushinda muhula wa saba madarakani.

25407dbf40b5cfa31762235c3083ac8589cbd801cfa5fd15a6df29b5a69c02dd

23 Januari, 2026

Morocco yasema matukio ya fainali AFCON hayataathiri uhusiano wa karibu na nchi za Afrika

Mfalme Mohammed wa Sita wa Morocco alisema siku ya Alhamisi kuwa undugu wa Afrika utaendelea kushamiri licha ya kile alichokiita vitendo “vya kusikitisha” vilivyotia doa fainali ya AFCON dakika za mwisho kati ya Morocco na Senegal.

d1deedb91a4e091ae845556cfadae4a59470ebd88b86dc737f8e174c0c6084a5 main

23 Januari, 2026

Afrika Kusini yazuia magari 60 baada ya ajali mbaya ya basi la shule

Polisi katika mkoa wa Gauteng wamethibitisha kuwa wanafunzi wawili wamefariki wakiwa hospitali siku ya Alhamisi, kufanya idadi ya waliofariki katika ajali kufikia 14.

0bca2d1095c389fd35f18580f4979a5de593e921b5958a8630359c46bc6dff00

22 Januari, 2026

Rwanda kufanyia majaribio kliniki zenye kutumia teknolojia ya Akili Mnemba (AI)

Nchini Rwanda, muhudumu mmoja wa afya huhudumia wagonjwa 1,000, ambao ni uwiano tofauti na ule pendekezwa wa wahudumu wa afya wanne kwa kila wagonjwa 1,000.

9a7cd689d8010b3ebab38ac4e5dbe7f081c4bb3e6715e51665a79d59ca827b19

22 Januari, 2026

Nyota wa YouTube IShowSpeed afikisha wafuasi milioni 50 akiwa Afrika

Ziara yake ya Afrika imehusisha matukio ya kipekee kama kushindana mbio na duma nchini Afrika Kusini, kucheza mechi ya soka na watoto 100 nchini Angola, kutembelea jamii ya Wamaasai nchini Kenya, pamoja na kuhudhuria fainali ya AFCON nchini Morocco.

1769066832047 ks29ca e351f38cdd5c62a427d08101fb2760ca1b6c63232b10486e10a94726b66e6356

22 Januari, 2026

Trump anasema makubaliano yanaweza kupatikana kati ya Misri na Ethiopia kuhusu mzozo wa bwawa

Rais wa Marekani Donald Trump alisema siku ya Jumatano kwamba anaamini makubaliano yanaweze kupatikana kati ya Misri na Ethiopia, akiashiria juhudi za kutatua mzozo wao wa muda mrefu kuhusu Bwawa kubwa lililojengwa na Ethiopia.

67681bfdb9e2babc4c2283eef5e12fdd402b6d1e38c030b77ed6923bc2159a19

21 Januari, 2026

Bobi Wine: Mimi si mhalifu

Akizungumzia tishio kutoka kwa Mkuu wa Majeshi wa nchi hiyo na mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Muhoozi Kainerugaba, Wine alisema:“Mimi si mhalifu bali mgombea Urais na sio hatia kugombea dhidi ya baba yake.”

6af9663eb4e4a68e58f0f9dcddd0373979e3bb005927aa81975bb5b001d40676

21 Januari, 2026

Wafanyakazi wa anga Kenya watoa notisi ya siku 7 ya kufanya mgomo

Notisi hii ya mgomo imetolewa baada ya kusambaratika kwa mazungumzo ya upatanishi yaliyoagizwa na mahakama, ikitaja matakwa muhimu ambayo hayajatatuliwa ikiwa ni pamoja na nyongeza ya mishahara iliyochelewa kwa muda mrefu.

53ac5eea558a2789af85804aab9b8adb615e61fe01c824fe4e21cca77b713e84

21 Januari, 2026

Uwekezaji katika sekta ya madini Tanzania

Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kunufaika na ushirikiano wa kimkakati na Marekani katika utafiti, uwekezaji katika sekta ya madini, hususan madini yanayohitajika kwa wingi katika teknolojia za kisasa duniani.

7422500a8488e5ea2eb499602519e8f0a8490e46778f8498fb0e804c1e298e4b
Loading...