2 Juni, 2025

Waziri Mkuu mpya wa Sudan, Kamil avunja serikali ya muda

Hoja ya Kamil Idris inalenga kufungua njia kwa Baraza jipya la Mawaziri huku kukiwa na vita vinavyoendelea na ukosefu wa utulivu wa kisiasa.

5f373a84ac27ad915ccdeff20b14a88b4f0e50035fed5129aea26b95aeec0e4c

1 Juni, 2025

Ndege zisizo na rubani zagonga maeneo ya wanamgambo magharibi mwa Sudan

Mashambulizi matatu ya ndege zisizo na rubani yamegonga maeneo muhimu ya kijeshi magharibi mwa Sudan, walioshuhudia walisema Jumapili.

85be77a4fb462203fffbb720afcac8c5a3e40531c15780d26e64d436262fcbfe

1 Juni, 2025

Mfanyabiashara wa Namibia auawa na simba jike akiwa safari mbugani na mkewe

Bernd Kebbel, mfanyabiashara wa Namibia na mfadhili anayejulikana ambaye aliunga mkono uhifadhi wa wanyamapori, ameuawa na simba jike alipokuwa safari mbugani.

ee438818b37354523802a099ab09a0e04cf3bbc52a6d0e71772f1df970526d22

1 Juni, 2025

Raila Odinga amtaka Rais Ruto kutoa fidia kwa waliouawa wakati wa maandaman ya Gen Z Kenya

Raila, ambaye ni kiongozi wa upinzani na Waziri Mkuu wa zamani, alikua akihutubia umati uliokusanyika kwa maadhimisho ya Madaraka jijini Kisumu Magharibi mwa Kenya.

9cd4c76ec57ae861ff7d9ebe15ef66d9658cdbdeba796decd62ca196988d7ece

1 Juni, 2025

Uturuki yatuma salamu za rambirambi kwa Nigeria kutokana na maafa ya mafuriko

Idadi ya vifo nchini Nigeria imepanda hadi vifo 151, huku zaidi ya watu 3,018 wakiwa wameyahama makazi yao, mamlaka zilisema.

163608ff1a3031ab553a1515185c7681694e1cc9c43cf525b5386ea100b75f3f

31 Mei, 2025

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa laidhinisha tena vikwazo vya silaha Sudan Kusini

Sudan Kusini ilikuwa imepinga vikwazo vya silaha na wajumbe sita wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa hawakupiga kura, ikimaanisha kuwa ilipita kwa kura tisa za ndio, ambazo ni kiwango cha chini zaidi kupitishwa.

d2aa2a75b58d22afb339703d21ac0633ac7843067fa11861c58e948c2cbf4b22

30 Mei, 2025

Marekani yataka kesi ya Boeing mahakamani itupiliwe mbali

Kampuni hiyo inalaumiwa kwa ajali mbili mbaya za ndege ya 737 MAX iliyoua watu 346, Wizara ya Sheria ya Marekani inasema imefikia makubaliano na kampuni hiyo ya kutengeneza ndege.

1748608917612 t13fva bb57ddc20ab0a8628a81e0438e30be1a9c4837030837149b59505df12d7f4b74

30 Mei, 2025

Shirika la WFP kupunguza msaada kwa watu Ethiopia

WFP inaonya kwamba kuendelea kuwepo kwa upungufu wa fedha kunatatiza uwezo wake wa kuendeleza utoaji wa misaada ya chakula nchini Ethiopia kwa watu waliolazimika kuhama makazi yao na wakimbizi.

144cbfb3d3bd22a48efd05eb54b6ba5127ef30b1d83d3ff1b44e739c14e2f8ba

30 Mei, 2025

Serikali ya Kenya kununua mchele wote wa wakulima

Wizara ya kilimo imesema serikali itanunua zaidi ya tani 5000 za mchele kwa wakulima hao ambao wamelalamika kukwama na mazao yao kufuatia ununuzi wa mchele kutoka nje ya nchi.

c5801de3130aef14f76c938f4eb19e0e146947b3599797c203ab069f2bf68117

30 Mei, 2025

Naibu rais wa zamani wa Kenya ataka fidia kwa kutimuliwa

Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya ambaye aliondolewa madarakani na bunge sasa anataka kulipwa fidia ya miaka mitano kamili ambayo angehudumu katika wadhifa huo.

5db9d5c846ab3409f4555fdcdeb2d299a3a4c942c06b1e33feb5c75e9f607067
Loading...