Mzozo kati ya Israel na Lebanon umeendelea kushika kasi, baada ya wanajeshi wanne wa Israel kuuawa katika mapigano ya hivi karibuni. Mapigano hayo yanaendelea kwa mashambulizi ya mabomu na risasi kila siku, huku idadi ya waliouawa nchini Lebanon ikizidi kuongezeka.
Wakati huo huo, Iran imeendelea kujibu mashambulizi ya Marekani na Israel kwa kushambulia maeneo mbalimbali, hali inayozidisha hofu ya kuenea kwa vita katika kanda ya Mashariki ya Kati.
CHANZO: Newstimetr














