Kenya: Ajali ya treni na basi dogo yaua watu 8

Kati ya waliopoteza maisha katika ajali hiyo, ni pamoja na dereva wa basi hilo linalomilikiwa na kampuni ya KPC.

Newstimehub

Newstimehub

8 Agosti, 2025

471560bdf8025c427f80f449004a365a66b2619c94ed36a245a78eac9bfd4700

Watu nane wamepoteza maisha baada ya basi dogo walilokuwa wakisafiria kugonga treni ya mizigo nchini Kenya.

Kulingana na Kamanda wa Polisi wa Naivasha, Anthony Keter ajali hiyo iliyotokea jioni ya Agosti 7, 2025, ilihusisha treni ya mizigo na basi dogo la kampuni ya Kenya Pipeline (KPC).