Trump: Siamini kama China na Urusi zinaisaidia Iran

Rais wa Marekani amesema nchi hizo mbili zitapata hasara iwapo zitatoa msaada huo, na kuwa Marekani ingebaini haraka sana endapo China na Urusi zingekuwa zikiiis
13 Oktoba, 2026
RJ Mitte, muigizaji wa ‘Breaking Bad’ afariki akiwa na umri wa miaka 34

Kwa kuwa alizaliwa na ulemavu wa cerebral palsy, Mitte alitumia uzoefu wake binafsi kuigiza uhusika huo, jambo lililosaidia kuongeza muonekano na utambuzi wa watu wenye ulemavu katika vyombo vikuu vya habari na televisheni.
13 Oktoba, 2026
Shambulio jingine katika uwanja wa ndege wa Saudi Arabia; mmoja auawa na wengine 11 kujeruhiwa

Shambulio hilo linafuatia wimbi la mashambulizi yanayofanywa na kundi la Wahouthi katika viwanja vya ndege nchini Saudi Arabia. Mji wa Riyadh umelengwa mara mbili ndani ya saa 48. Shambulio la awali likiripotiwa kuua watu 13 na kujeruhi zaidi ya 300.
12 Oktoba, 2026
Watu 12 wameuawa na 309 kujeruhiwa kufuatia shambulio la Wahouthi dhidi ya uwanja wa ndege wa Riyadh

Raia wanne wa Saudi Arabia, wawili wa Bangladesh, na wengine kutoka Marekani, Misri, Jordan, Syria, Palestina, na Sudan waliuawa katika shambulio hilo, kulingana na mamlaka ya usafiri wa anga ya Saudi Arabia.
11 Oktoba, 2026

Palestina inakaribisha Tuzo ya Amani ya Nobel ya mwaka 2026 kwa Navi Pillay

Ethiopia yaitaka Eritrea kuwaondoa wanajeshi wake nchini humo

Trump apanga hatua za kijeshi dhidi ya Iran kabla ya uchaguzi wa Marekani: Ripoti

Sri Lanka yamshikilia mke rais wa zamani wa nchi hiyo kwa ufisadi

Miaka mitatu ya vita vya Gaza: Jinsi Israel ilivyoharibu miundombinu muhimu
5 Oktoba, 2026
Maandamano ya wanafunzi yanaendelea kote Ufaransa huku takriban shule za sekondari 500 zikifungwa
Takriban watu 5,000 wamekamatwa tangu harakati hiyo ilipoanza, huku shule 24 zikichomwa moto au kuporwa, kulingana na mamlaka za Ufaransa.

5 Oktoba, 2026
Jeshi la Yemen lasema ‘limewakata makali’ Wahouthi 1,747 katika operesheni za kijeshi zaidi 1,100
Operesheni hiyo ililenga maeneo ya kurusha mizinga, roketi, wanajeshi na vituo vya uongozi katika sehemu mbalimbali

5 Oktoba, 2026
Marekani kutuma wanajeshi zaidi Israel kufuatia hofu ya kuongezeka kwa mzozo: Ripoti
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, jeshi la Marekani limekuwa likifanya mabadiliko ya kawaida ya wanajeshi katika wiki za hivi karibuni.

4 Oktoba, 2026
Israel yaua mama na binti Wakristo katika jaribio lililofeli la kumuua kiongozi wa Hamas
Vyombo vya habari vya huko vinasema kuwa tathmini za Israel zinaashiria kuwa Ali al-Amoudi alinusurika katika shambulio la shabaha mahususi jijini Gaza, ambalo badala yake liliua Wapalestina watano, wakiwemo wanawake wanne.

2 Oktoba, 2026
Mhandisi wa Marekani akamatwa kwa madai ya kutoa msaada kwa kundi la Wa-Houthi
Ashton Hamed Ellaboudy, mwenye umri wa miaka 51 na mkazi wa jimbo la Washington, kaskazini-magharibi mwa Marekani, anatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Ijumaa.

1 Oktoba, 2026
Trump akataa kumuunga mkono Netanyahu katika uchaguzi ujao wa Israel
Rais wa Marekani anasema hajasikia “mambo mabaya” kumhusu mgombea wa upinzani Gadi Eisenkot.

1 Oktoba, 2026
China yaadhimisha miaka 77 tangu kuanzishwa kwake
Maadhimisho hayo yaanza Oktoba 1 hadi 7, ambapo nchi hiyo imetenga wiki nzima kuwa siku za mapumziko.

1 Oktoba, 2026
Majeshi ya Israel yazingira ‘Kaburi la Yosefu’
Tukio hilo, ni mwendelezo wa uvamizi wa majeshi ya Israel, kwenye maeneo mbalimbali matakatifu, ambayo ulianza Septemba 26.

30 Septemba, 2026
Ndege ya UAE yatua Saudi Arabia baada ya marubani kupigana angani
Ndege hiyo ilituma kwa muda mfupi ishara ya dharura ya kabla ya kubadili na kutuma kodi ya hatari ndani ya ndege.

30 Septemba, 2026
Uingereza yafikiria kurejea tena ndani ya Umoja wa Ulaya
Uingereza ilipiga kura ya kujiondoa ndani ya Umoja wa Ulaya, kupitia kura ya maoni ya mwaka 2016.



