Jeshi la Israel laamuru Wapalestina zaidi kuhamishwa hadi Magharibi mwa Gaza

Israel imeendeleza mauaji ya kimbari kw alengo la kunyakua ardshi ya Wapalestina n akuwahamisha kwa lazima
26 Aprili, 2025
Afrika Kusini inahimiza Urusi na Ukraine kufikia “makubaliano ya kusitisha vita”

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa alisema usitishaji vita bila masharti unapaswa kufuatiwa na majadiliano na mazungumzo kati ya nchi hizo mbili.
25 Aprili, 2025
Takriban watu tisa wauawa, 63 wajeruhiwa Kiev katika shambulizi la Urusi

Msaidizi mwandamizi wa Rais wa Ukraine amesema mashambulizi hayo kwa raia sharti yasitishwe.
24 Aprili, 2025
Kwenye ardhi, bila mapambo: Papa Francis alitaka mazishi ya kawaida

Katika wosia wake, Papa Francis alieleza sehemu maalum anapotaka kuzikwa, pembeni pa basilica, hata kuongeza mchoro ulioambatanishwa kwa maelezo zaidi
22 Aprili, 2025

Idadi ya vifo kutokana na vita vya mauaji ya halaiki ya Israel huko Gaza yaongezeka hadi 51,157

Roboti zakimbia pamoja na wanadamu katika mbio za marathon za Uchina

Trump: ‘Sijui kilichotokea wakati wa jaribio langu la kuuwawa’

Walowezi zaidi 1,200 wa Israeli wavamia Msikiti wa Al-Aqsa

Majeshi ya Israeli yavunja sanamu ya Mtakatifu George siku ya Jumapili ya Matawi
15 Aprili, 2025
Raia wa Japan afungwa jela mwaka mmoja kwa kuua sungura
Hotta alikamatwa mwezi Januari baada ya kupatikana akimpiga teke sungura katika kisiwa cha Okuno.

15 Aprili, 2025
Netanyahu anamsuta Macron kuhusu mipango yake ya kuitambua taifa huru la Palestina
Netanyahu anasema Macron “amekosea sana” kukuza kutambuliwa kwa Palestina, akidai kuwa lengo la taifa la Palestina litakuwa kuangamizwa kwa Israeli.

15 Aprili, 2025
Waziri wa ulinzi wa Israel anatishia kumega zaidi ardhi ya Palestine na kuitenga Gaza
Waasi wa Houthi wa Yemen washambulia uwanja wa ndege wa Ben Gurion, kituo cha kijeshi nchini Israel



