21 Mei, 2025

Rais Cyril Ramaphosa na Donald Trump ‘watofautiana’ kuhusu wakulima wazungu

Ni kitu cha ajabu. Sijawahi kuona kitu kama hicho,” alisema Rais wa Marekani Donaldo Trump akizungumzia madai ya mateso dhidi ya wakulima wazungu nchini Afrika Kusini.

gettyimages 2216313099

20 Mei, 2025

Ramaphosa wa Afrika Kusini awasili Marekani kwa Mazungumzo na Trump

Ushirikiano wa kidiplomasia kati ya Pretoria na Washington umetetereka tangu Rais Donald Trump kuingia madarakani Januari.

grvqyswwcaeqtk0

19 Mei, 2025

Mfalme Charles III wa Uingereza amtakia nafuu Rais wa zamani wa Marekani Joe Biden

Biden, mwenye umri wa miaka 82, aligundulika kuwa na ugonjwa wa tezi dume baada ya kufanyiwa vipimo siku ya Ijumaa.

gettyimages 2214733989

18 Mei, 2025

Papa Leo XIV aanza rasmi kazi baada ya sherehe ya kusimikwa Vatican

Waumini walibeba bendera za Marekani na Peru kumshangilia papa wa kwanza kutoka Marekani, ambaye ataadhimisha Misa yake ya uzinduzi baadaye Jumapili asubuhi.

2025 05 18t093801z 54315208 rc28keamuk1h rtrmadp 3 pope leo scaled

17 Mei, 2025

Marekani inapanga kuwahamisha Wapalestina milioni moja kutoka Gaza hadi Libya – Ripoti

Kwa kuwakubali Wapalestina waliofukuzwa, Marekani ingetoa kwa Libya mabilioni ya dola za fedha ambazo ilizizuia zaidi ya muongo mmoja uliopita, NBC News inaripoti.

fab 1 2 3

11 Mei, 2025

Zelenskyy aona dalili njema huku Putin akiashiria kumaliza vita

Rais wa Ukraine amekaribisha dalili ya uwezekano wa Urusi kumaliza vita na kuonyesha utayari wa mazungumzo ya amani ya ana kwa ana, kwa kuanza na usitishaji wa mapigano Mei 12.

czech republic ukraine 63713

10 Mei, 2025

Jitihada za kidiplomasia zinaendea kupunguza hali ya wasiwasi kati ya Pakistan, India

Wanadiplomasia wakuu wa Marekani, Saudi Arabia wanafanya mazungumzo na mawaziri wa mambo ya nje wa India na Pakistan katika jitihada za kupunguza hali tete inayoendelea kati ya nchi hizo

ap25130155539423

9 Mei, 2025

Papa LEO XIV ni nani?

Kadinali Robert Prevost mzaliwa wa Marekani, amekuwa Papa wa kwanza katika historia ya Kanisa kutoka nchi hiyo.

pictures of the week global photo gallery 83310

8 Mei, 2025

Robert Francis Prevost Papa wa kwanza kutoka Marekani achaguliwa

Anaaminika kuwa na msimamo wa kadri na mshirika wa karibu wa Papa Francis alihudumia Kanisa nchini Peru, Prevost anakuwa kiongozi wa 267 wa Kanisa Katoliki.

2025 05 08t175835z 948314870 rc2tdeajjld7 rtrmadp 3 pope succession leo scaled

7 Mei, 2025

Mchakato wa kumchagua Papa, kiongozi wa Kanisa Katoliki umeanza

Hakuna papa ambaye amechaguliwa katika siku ya kwanza ya kongamano kwa karne nyingi, kwa hivyo upigaji kura unaweza kuendelea kwa siku kadhaa.

2025 05 07t084005z 1453069310 rc2wceah7ak9 rtrmadp 3 pope succession 1 scaled
Loading...