Wawili wauawa, mamia wamekamatwa nchini Ufaransa baada ya ushindi wa Ligi ya Mabingwa wa PSG

Wakati wa sherehe kote nchini, raia 192, polisi 22 na wazima moto saba pia walijeruhiwa.
1 Juni, 2025
Kremlin yasema bado hakuna mpango wa mazungumzo ya simu kati ya Putin na Trump

Kremlin imesema bado hakuna mpango wa mazungumzo kwa njia ya simu kati ya Putin na Trump.
29 Mei, 2025
Ndege iliyomuacha hujaji wa Libya, iliharibika mara mbili

Katika matukio ya ajabu, ndege ya Hajj inayokwenda Saudia Arabia ililazimu kugeuka mara mbili baada ya kijana mmoja kutoka Libya kutoruhusiwa kupanda ndege.
28 Mei, 2025
Urusi na Ukraine zakamilisha ubadilishaji mkubwa zaidi wa wafungwa chini ya makubaliano ya Istanbul

Uturuki iliwezesha mazungumzo ya kwanza ya moja kwa moja kati ya Urusi na Ukraine katika kipindi cha miaka mitatu mnamo Mei 16 huko Istanbul, ambapo pande zote mbili zilikubaliana kwa kubadilishana kwa kiasi kikubwa wafungwa.
25 Mei, 2025

Rais Cyril Ramaphosa na Donald Trump ‘watofautiana’ kuhusu wakulima wazungu

Ramaphosa wa Afrika Kusini awasili Marekani kwa Mazungumzo na Trump

Mfalme Charles III wa Uingereza amtakia nafuu Rais wa zamani wa Marekani Joe Biden

Papa Leo XIV aanza rasmi kazi baada ya sherehe ya kusimikwa Vatican

Marekani inapanga kuwahamisha Wapalestina milioni moja kutoka Gaza hadi Libya – Ripoti
11 Mei, 2025
Zelenskyy aona dalili njema huku Putin akiashiria kumaliza vita
Rais wa Ukraine amekaribisha dalili ya uwezekano wa Urusi kumaliza vita na kuonyesha utayari wa mazungumzo ya amani ya ana kwa ana, kwa kuanza na usitishaji wa mapigano Mei 12.

10 Mei, 2025
Jitihada za kidiplomasia zinaendea kupunguza hali ya wasiwasi kati ya Pakistan, India
Wanadiplomasia wakuu wa Marekani, Saudi Arabia wanafanya mazungumzo na mawaziri wa mambo ya nje wa India na Pakistan katika jitihada za kupunguza hali tete inayoendelea kati ya nchi hizo

9 Mei, 2025
Papa LEO XIV ni nani?
Kadinali Robert Prevost mzaliwa wa Marekani, amekuwa Papa wa kwanza katika historia ya Kanisa kutoka nchi hiyo.

8 Mei, 2025
Robert Francis Prevost Papa wa kwanza kutoka Marekani achaguliwa
Anaaminika kuwa na msimamo wa kadri na mshirika wa karibu wa Papa Francis alihudumia Kanisa nchini Peru, Prevost anakuwa kiongozi wa 267 wa Kanisa Katoliki.

7 Mei, 2025
Mchakato wa kumchagua Papa, kiongozi wa Kanisa Katoliki umeanza
Hakuna papa ambaye amechaguliwa katika siku ya kwanza ya kongamano kwa karne nyingi, kwa hivyo upigaji kura unaweza kuendelea kwa siku kadhaa.

27 Aprili, 2025
Tisa wauawa baada ya shambulio la gari katika tamasha la Vancouver mitaani: Polisi
Polisi wanasema wamemkamata dereva huyo.

26 Aprili, 2025
Jeshi la Israel laamuru Wapalestina zaidi kuhamishwa hadi Magharibi mwa Gaza
Israel imeendeleza mauaji ya kimbari kw alengo la kunyakua ardshi ya Wapalestina n akuwahamisha kwa lazima

25 Aprili, 2025
Afrika Kusini inahimiza Urusi na Ukraine kufikia “makubaliano ya kusitisha vita”
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa alisema usitishaji vita bila masharti unapaswa kufuatiwa na majadiliano na mazungumzo kati ya nchi hizo mbili.

24 Aprili, 2025
Takriban watu tisa wauawa, 63 wajeruhiwa Kiev katika shambulizi la Urusi
Msaidizi mwandamizi wa Rais wa Ukraine amesema mashambulizi hayo kwa raia sharti yasitishwe.

22 Aprili, 2025
Kwenye ardhi, bila mapambo: Papa Francis alitaka mazishi ya kawaida
Katika wosia wake, Papa Francis alieleza sehemu maalum anapotaka kuzikwa, pembeni pa basilica, hata kuongeza mchoro ulioambatanishwa kwa maelezo zaidi
